Tetesi: John D Pallangyo kupita bila ya kupingwa kwenye jimbo la Arumeru Mashariki.

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
10,033
2,000
Nasari kauza ubunge hilo kitambo tunalijua lingetokea,watu walitumia nguvu kubwa sana kukampeni kipindi anagombea 2012 halafu leo hii anakuja kuuza utu wake kwa vishilingi
miaka mingi jimbo limeongozwa na chama kongwe lakini matatizo yapo pale pale ila kaja kijana nasali kajitaaidi kuweka mambo sawa ila anawangiwa na chama kijani wana arumeru chaguo lipo kwenu sisi yetu macho na ushauli kwenu kuchagua litakalo wafaa lipo mikononi mwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,505
2,000
Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Wewe siku zote hunaga hoja za maana zaidi ya ujinga tu.

Sasa hapo nini ambacho hujamuelewa mtoa comment?

Tatizo lenu ccm huwa hamna uhuru wa kufikiri zaidi ya kuwa wafungwa wa fikra.

Jaribuni kujielimisha japo muelewe tofauti ya maslahi ya nchi na serikali ili angalau uwepo wenu uwe na manufaa kwa taifa kuliko sasa mpo mpo tu kama wendawazimu tu.
 

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,449
2,000
Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Ccm imeliongoza hilo jimbo kwa miaka kadhaa, ilifanya nini? Cvm imeongoza hii nchi kwa miaka yote, hakuna kilivhofanyika.

Sio kazi ya mbunge kuleta maendeleo, ni mikakati ya serikali. Serikali ya ccm inatekeleza mikakati yake kwa upendeleo.

Kwenye majimbo ya ccm wamefanya nini? Kama bajeti ya maendeleo nchi nzima utekelezwaji wake ni chini ya 20%, unategemea nini?
 

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,499
2,000
Hizo kanda mbili za mwanzo; yaani, "Ukanda wa pesa, na Ukanda wa Udikiteta" umeelezea vizuri hizi zinajulikana zilipo.
Na huo wa tatu je, upo wapi "ukanda wa kupendana daima kimaslahi"?
Boda kubwa la kuelekea Zimbabwe .
Hawa ni wakali sana kwa mtu yeyote isipokua wakwao.
Mapendo siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

zimwimtu

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
1,984
2,000
Ovyo kabisa badala ya kuwaza fedha za walipa Kodi zinavyotumika ovyo, mnawaza madaraka tu.

Kurudia uchaguzi zinatumiaka zaidi ya bilioni4, wakati kutwa Serikali inakimbizana na Wamachinga walipie hata 20,000 na hawana.
akipita bila kupingwa hakuna pesa itatumika. hakutakuwa na uchaguzi. wanamtangaza wanamwapisha maisha yanaendelea.
Au unadhani kule temeke kuna hela ilitumika?
 

FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
952
1,000
huyo JOHN asubiri kwanza , mbunge wa arumeru atatokana na lowassa naye atakuwa mtoto wa lowasa
 
Top Bottom