Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Habari kutoka ndani ya Ccm ni wanataka kumpitisha John D Pallangyo kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki.
John D Pallangyo aligombea mwaka 2015 lakini alishindwa kufurukuta mbele ya kijana mdogo Joshua Nassari ambae kauza ubunge wake kwa pesa za Ccm.
Nafasi ya John D Pallangyo kushinda ni kubwa sana, kwanza wananchi wamekata tamaa baada ya miaka minne bila ya maendeleo yoyote jimboni hapo, wakijua ni figisu za serikali baada ya jimbo kuwa chini ya upinzani.
Wananchi wanahisi wakimchagua mbunge wa Ccm watapata maendeleo na kero zao zitatatuliwa bila ya ubaguzi kama waliokua wanaupata wakati wa Nassari.
Sent from my iPhone using JamiiForums