Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,484
- 45,799
Kuna wakati kama unachukua notes za haraka haraka kuna maneno yanaweza kuwa yameandikwa kwa muda tofauti kwa na maudhui tofauti lakini yapo kwenye mlolongo mmojaMimi nataka kujua hayo maneno ya juu yake yanasomeka vipi maana Media nazo huwa zinakuza mambo zana.
Ni kweli Maduro hachomoi,ingawa sio kwa sbabu ya mustachi bali safari hii kaingia vizuri kwenye kumi na nane za marekani
Sawa mkuu, ila sipo upande wowote zaidi ya kutaka amani iwepo, ila nipo macho kuona yatakayo ajili hapo mbeleni kuhusu hao mafahali wawilTusubiri
Utakuja kuniambia
Sent from my SM using Tapatalk
Sawa nakubaliana na wewe kwa kutokuwa upande wowoteSawa mkuu, ila sipo upande wowote zaidi ya kutaka amani iwepo, ila nipo macho kuona yatakayo ajili hapo mbeleni kuhusu hao mafahali wawil
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama kabisa mkuu, nipo nashukuru.Za siku kwanza mkuu..?
Kama Nakumbuka vizuri mfalme wa Saudia, king Faisal baada ya hii oil embargo aliuliwa na ndugu yake wa damu, na INASEMEKANA US walikua nyuma ya hiki kifo
Malcolm do you think sababu ya hii shughuli ya USA vs. Maduro ni jinsi ambavyo USA is fueling almost half of Venezuela's economy?!
I think the U.S. is their number one importer.
Ndugu yangu, Asalaam Alyekum!
Waalykum Msalaam ndugu, naona umeadimika sana aiseee.Ndugu yangu, Asalaam Alyekum!
Nimerudi rasmi mkuu.
Ahsante Comrade.
Ndiyo! Venezuela anategemea sana Marekani ili aishi.: Huu utegemezi una miaka zaidi ya 100. Kipindi chote cha vita ya pili ya dunia Venezuela ndiyo alikuwa anamuuzia sana mafuta Marekani. Pia yeye ni moja ya wanufaika wakubwa sana wa Lend-Lease Initiative.
Lakini sasa swali langu mimi ni rahisi tu: Hivi unadhani wakimtoa Maduro ndiyo Venezuela itatulia ???
Saudi Arabia nafikiri ni strategic ally wa Marekani hasa pale wanapotaka ku manipulate oil price ili kuwadhuru maadui wa marekani kama Russia,Iran n.k.pia Saudia has much to do with oil price ili ku satabilise US Dollar.Ndio maana wanaona is much better kumlea Saudia hata kama amewakosea.Mwaka 1973-1974 Saudi Arabia alimwekea Marekani Oil Embargo, na kusababisha Oil Crisis. Mbona Marekani hakuwavamia ? Unadhani leo hii Saudi Arabia akimpinga Marekani anaweza kuvamiwa kijeshi ?
tusubiri mazee,hali ni tete.Pongezeni tu kwani mnasahau kuwa Putin kisha muonya Trump juu ya Venezuela.!! Russia na China hawawezi kumuacha Maduro aondolewe na Marekani , ikibidi ni lazima watakinukisha tu!! Putin alipeleka ndege zake za kivita Venezuela recently; RECONAISSANCE mission!!!
Huyu ni warmonger wakufa nguruwe!
John Bolton not JobView attachment 1009136View attachment 1009137View attachment 1009138
"5,000 troops to Colombia"
Hiyo ni message kutoka kwenye notepad ya Job Bolton Mshauri wa Rais Trump kwenye Usalama, iliyodakwa na Waandishi wa Habari wakati akifanya Press Briefing kuhusu vikwazo vipya kwa Venezuela.
Colombia inashirikiana mpaka na Venezuela..
"..Photos of the note rocketed around Twitter, causing a stir. National Security Council representatives didn’t respond to questions about whether the U.S. is planning to deploy the military to Colombia, which...borders Venezuela, or otherwise explain Bolton’s note.." ~ Bloomberg.