John ameachwa

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,742
2,000
Naona safari hii huyu John mkubwa mmeamua kumvua nguo hadharani. Maana imekua faru John, mara ndege john, na tena mmrkuja n barua ya Rozi kwenda kwa John......
Mara John sijui naninani, ebu ngoja niishie hapa. Maana humu ndani si salam tena
 
Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,024
2,000
Naona safari hii huyu John mkubwa mmeamua kumvua nguo hadharani. Maana imekua faru John, mara ndege john, na tena mmrkuja n barua ya Rozi kwenda kwa John......
Mara John sijui naninani, ebu ngoja niishie hapa. Maana humu ndani si salam tena
Uwe na amani mkuu. Kuna dada anaitwa Rozi alikuwa akiwasiliana na mpenzi wake sasa sisi tukaiokota barua ndio tukasema sikukuu hii tutayashuhudia mengi
 
SupuyaPweza

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
917
500
Huyu hawezi kuwa John Faru... yule ni marehemu tayari na huenda hata mifupa ilishaliwa na fisi... hapa John ni mmojawapo wa waliobakia hai, anatumbuliwa kwa ubahili!!...... Rozi mbayaa!... hatakagi ujingaujinga!...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom