dah mbna kama diamond anaanza kukosea juu ya wasanii wa kuwasaini kwnye lebel yake? tukianza na rich mavoko, si vibaya kumsaini lakn tayar ni star ambaye zilibaki step chache sana awe wakimataifa ambapo hata kwa juhud zake mwenyewe angeweza kufika.
The applied kwa joh makini pia alishakuwa wakimataifa na tayar ana hit sana, bad enough ni kwamba ana brand kubwa nyuma yake(weusi) ambao they are able to do anything kweny industry na some of them tumeshaona, sasa msanii kama huyu unamsainisha for what?
Nlichodhani mim ni kwamb WCB itakua inachukua watu ambao ni very talented bt kwa namna moja au nyngne wamekosa strong sapport ya kuwafikisha mbali kama ilivokuwa kwa harmoserengeti na raymond...!