Kusema ukweli, kwa mtazamo wangu, ikija kwenye suala la kipaji tu cha uimbaji Ali Kiba namkubali sana.
Nadhani hana mpinzani kabisa ikija kwenye hiyo idara.
Na mafanikio anayo tena naona ni mafanikio mazuri tu.
Lakini naona kama vile angeweza kuwa mbali zaidi ya hapo alipo.