Kwani kwa uelewa wako unafikiri duniani kuna aina ngapi za jogoo??
.
kuna jogoo wa kokoriko na yule nasikia wengine wanalalamika eti hapandi mtungi
Je! Katika huu muktadha unafikiri Jogoo yupi anayezungumziwa????
Hypothesis Formulation......
Kumbe mgonjwa keshapona!
Huko kukuwikia tu ni habari tosha jogoo la A'moko liko mtamboni .
Na wewe lady una jogoo, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=shemale]#shemale [/URL]
Hahahahaaaa
Jamani hivi ni mimi sikukuelewa au wewe hukunielewa
Au hatujaelewana?!!:eyeroll1:
nadhani huyo wa kupanda mtungi,ila sijui anapandaje wakati hata miguu hana
mwili mmoja!!!!!
Haya ya kweli???????
Mtungi ei Lady doctor we unaujua mtungi
Mzee nimechelewa kuonyeshwa huyo jogoo anavyoupaanda mtungi