hahahha..........nitumie hicho hicho cha chooni.Msichana akiwa anaenda benki kabla hajafika kwa bahati nzuri akamwona boyfriend wake kwa mbali anadraw ATM,
akaamua amwandikie sms haraka.
Msichana:mpenzi kama unalala nitumie ndoto,kama unakula nitumie chakula,kama unalia nitumie machozi yako,
kama unacheka nitumia kicheko
Mvulana:nipo chooni.
kugeuka nyuma anamwona girfriend wake,sijui nini kilitokea
Msichana akiwa anaenda benki kabla hajafika kwa bahati nzuri akamwona boyfriend wake kwa mbali anadraw ATM,