Duu,bora huyo,hapa kwetu kuna jogoo lina hormone za mbwa yaani akija mtu tuuu atakimbizwa mpaka akome,na akikamatwa ni full kuraruriwa,alafu kibaya zaidi anatukimbiza hadi sisi,tatizo ni kwamba hana jina angekuwa na jina nadhani ukimwita tuu angetikisa mkia kama afanyavyo mbwa!!!