| Moja ya majogoo ya Kichina | Saturday, February 11, 2012 12:16 PM Shirika la habari la egynews limeripoti kuwa, Wasomi na wataalamu nchini China wamepatwa na kiwewe cha mwaka, pale waliposhuhudia Jogoo lisilo la kawaida, ambalo linameshataga mayai kumi na manne 14. |
Ndio kama wewe tu mambo yanaingiliana katikati, he he heShoga Jogooo?????.......lakini anawika
punga hilo...
View attachment 47193
Kweli mchina ni mchina tuuuuuuuuuu.
kuku anaweza taga bila ya kupandwaHilo jogoo litakuwa na tabia za kibwabwa halina dili. Nachotoka kujua ni nani alilipanda. Jogoo mwenzake au? au ndo mambo ya maabara
Sasa anawezaje kutaga bila kushughulikiwa?Kuna bwabwa mpaka Jogoo???????