Tanga wako soo laid back... Daladala inasimama kwenye junction anasubiriwa mtu mwisho wa mtaa...anatembea dk 3-4 anaikaribia daladala anaulizwa "weendaa? " Anajibu "akuu wala siendii mie navuka huko ng'ambo.." Then anasubiriwa avuke ndio daladala inaondoka.