Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 469
- 910
😅😅😅UsiombeUzi Maalumu kwa Majobless Wenzangu,Hapa Nishapiga Zangu Ugali Wa Shikamoo Nipo Nimenyoosha Miguu Nasubili Dinner
Duniani Tunapita Unatafutaje Vitu njiani
Mkuu Mitaa Pacha wake Connection Bila Hivyo Hatua KisodaKuwa jobless haimaanishi uache kutafuta hela
Alafu Unakuta anae kushauri Kutafuta kazi anakupa Maneno tu Hakupi kazi😀😅😅😅Usiombe
😀😀😀 Ni Full Bando tu Hatuna Habari alafu Wajuaji wapunguze Ushauri kutuambia Umri Unaenda,Unaenda wapi😀Nimelala nimeweka miguu juu ya ukuta, nasubiri nipige msosi wa mpakani.. Kesho tuone inakuwaje 😬😬
😅😅 watu wanajifanya washauri waliobobea kuhusu mambo ya watu.. hapa nikipiga zangu msosi saa 12 huyoo naenda zangu kiwanjani kupiga cha ndimu narudi hoi kama pakaaa😀😀😀 Ni Full Bando tu Hatuna Habari alafu Wajuaji wapunguze Ushauri kutuambia Umri Unaenda,Unaenda wapi😀
Kwani Kuna Nini Mkuu Usije Ukadhua Taharuki😀Hivi nyie msio na kazi.mnaishi wapi mbona nawatafuta sana?
Dogo utaliwa Donat kabebe Zege acha utegemeziMkuu Mitaa Pacha wake Connection Bila Hivyo Hatua Kisoda
Ndondo Muhimu kutafuta jasho na kupanua Tumbo Ili Usiku Msosi Uliwe sana😅😅 watu wanajifanya washauri waliobobea kuhusu mambo ya watu.. hapa nikipiga zangu msosi saa 12 huyoo naenda zangu kiwanjani kupiga cha ndimu narudi hoi kama pakaaa
natafuta vijana wa kazi sipati sijui mnakaaga wapi nyieKwani Kuna Nini Mkuu Usije Ukadhua Taharuki😀
Na Boksa Ya Chuma Wanaume Wa Kanda ya ziwa Hatuna Hizo Mbaga Za Kubinulia Makalio Wanaume wenzetu,Dogo utaliwa Donat kabebe Zege acha utegemezi
Hakikisha kwenye maisha yako hakuna anayethubutu kusema bila yeye usingekuwa ulivyo
Ungekuwa umejipata na hutaki Ushauri ungefungua uzi wa kuomba huruma! Makebo yakoNa Boksa Ya Chuma Wanaume Wa Kanda ya ziwa Hatuna Hizo Mbaga Za Kubinulia Makalio Wanaume wenzetu,
Alafu Mkuu Punguza Ushauri Usinipe Maneno nipe Kazi
unatania au ni kweli?Aisee,wameninyima msosi.hapa navizia usiku,
Wana msemo wao,asiyekuwepo na lake halipo🥹
Mkuu Hua Tukishiba Tunakaa tu vibarazani tunapunga Upepo Tunasikilizia Michongonatafuta vijana wa kazi sipati sijui mnakaaga wapi nyie
Kweli.unatania au ni kweli?