JOB SEEK

JOB SEEK

Dee1044

New Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Jina langu ni Emmanuel Elisha,highschool graduate nchini Kenya,nina miaka 24.Ninatafuta kazi ya ualimu au private tuition kwa wanafunzi wa sekondari hasa katika somo la kiingereza.Nina uzoefu wa kufundisha tuition.Vile vile,ninavyo vyeti vya Kenya vya kuhakiki taarifa zangu na kuonyesha ufaulu katika somo la Kiingereza.If interested leave your email address and I'll check you up.PS.Serious People Only!!Thanks.
 
Aende kwenye Jimbo la Jaguar atampatia kazi.
Coz anajali welfare ya wananchi wake.
 
Kaka unahisi kama vile Kenya ndo kila kitu as if sisi Tanzania hatujui kitu
 
ukija uku tutakupiga mawe urudi kwenu pu mbav, kama mbwai mbwai tu
 
Back
Top Bottom