Job Ndugai...

Mzee ulikuwa unamaanisha nini Kwa hii habari Yako by then na hivyo bibao vyenye mkasi sijui sindano?
 
Huu uzi sikuwahi kuuona,ila leo nimeusoma unafikirisha sana...
 
Huyu aliishi kumfurahisha Magufuli tu nothing else alivyoondoka na yeye umachachari ukaisha.
 
Hadi Muda uliujua...!
 
Kila anayejua kitu ajiandae

Warioba na Butiku nao wakae kwa kutulia.

Nchi inawenyewe hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…