Job Ndugai, unagombea ubunge Ili iwe Nini?

Job Ndugai, unagombea ubunge Ili iwe Nini?

Mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa anaitwa Jezebel. Na katika kipindi kile Jezebel alikuwa akiwala vichwa manabii wa Mungu alie juu.. The same shit ipo Tanzania watumishi wengi wamekunywa mvinyo wake kwa mapesa lukuki.. 2nd Manipulation kwenye mfumo.. mfumo upo manipulated hatari, hizo ni kazi za alie kuwa mfalme wa Ahabu.. Kuna jambo ambalo Mungu anataka kupitisha kwenye taifa, kama ilivyokuwa wakati ule, na Jezebel alisimama kupinga, na ndivyo ilivyo sasa.
Imetosha sasa.
 
Salaam!

Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge?

Kwanini usitafute changamoto nyingine?

Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo.

Swali: Unagombea ubunge Ili iweje?

Nawasilisha 🙏
Mwambie ajiajiri,...mbona sisi tumejiajiri mambo shega tu?
 
Au naye anataka 2nd term,

Kwani ni lazima, viongozi mnakuwaje?

Sa100 huna sababu ya Msingi kugombea
Utamu wa madaraka ni mara kumi zaidi ya uraibu wa dawa za kulevya.Hakuna sober-house ya aliyelevywa kupindukia na madaraka.
 
Mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa anaitwa Jezebel. Na katika kipindi kile Jezebel alikuwa akiwala vichwa manabii wa Mungu alie juu.. The same shit ipo Tanzania watumishi wengi wamekunywa mvinyo wake kwa mapesa lukuki.. 2nd Manipulation kwenye mfumo.. mfumo upo manipulated hatari, hizo ni kazi za alie kuwa mfalme wa Ahabu.. Kuna jambo ambalo Mungu anataka kupitisha kwenye taifa, kama ilivyokuwa wakati ule, na Jezebel alisimama kupinga, na ndivyo ilivyo sasa.
This is next level narcissism, how important do you think your country is to God? For all the shit that is going on around the globe, do you really think God gives a special f*ck about your country?

You either fight for your rights or have some dignity and live quietly in your slavery.

Those rights will never be handed over to you on a silver platter by God, your rulers or anyone else, EVER!
 
Elewa lugha ya mfano wa picha na matukio yaliyopita. Usifanye mambo kuwa complex sana na wakati very simple
 
Huko watu AIBU ilishawaisha..Znz familia nzima wamepitishwa kushindania Uwakilishi .. Kikao cha Znz kikisimamia na ndugu yao...ya yule mama na mtoto tutayajadili siku nyingi...AIBU
 
Labda kuitwa muheshimiwa kunanawirisha,

Spika Tulia naye akatwe tu, hafai.
-Hutumii nguvu wala akili nyingi,
-Fedha za bure,
-Kunyenyekewa na kudekezwa kama walemavu,
-Kushawishiwa kwenda kuendeleza na kuficha uharamia waliouanza,Kuficha madudu yao,
-Kukimbia shurba za mitaani,
-Kuwawahi michepuko na maisha ya dezodezo,
-Safari mbalimbali za nje na ndani ya nchi ni pomoni kuliko maziwa kwenye birika,
-na kadhalika wa kadhaa.
 
Ile fimbo si bado ipoo, jichanganyeni upigwe one kick hadi chini.. Jichanganye!
 
Back
Top Bottom