Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
Kwa kipindi cha miaka zaidi ya mitano , kile kilichoitwa kipindi cha awamu ya 5, Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliuwa kinyama Mhimili wa Bunge na kuufanya sehemu ya Serikali ile, Ndugai alikuwa anahudhuria hata uzinduzi wa vyoo vya shule, stendi na masoko, tena vile vilivyofadhiliwa na wazungu baada ya serikali ya Tanzania kushindwa kuvijenga, hata hivyo hakuwahi kufungua mdomo wake kukemea mambo hayo, hii ni kwa sababu mzinduaji alikuwa boss wake.
Leo kwasababu zisizofahamika Ndugai yuleyule anajifanya ni mwenye huruma na Nchi kwa kumpiga Spana Kiongozi wake na kumtahadharisha kuhusu deni la Taifa !
Ni kweli kwamba ukopaji usio na tija ndio umetufikisha hadi mahali ambako Dunia imetuweka kwenye kundi la nchi vimeo ambazo soon zitakuwa hazikopesheki, bali msemaji wa Jambo hili hakupaswa kuwa Job Ndugai, huyu alishabikia kila uchafu wakati wa awamu ile ikiwemo ukopaji ambao matumizi ya hela hizo ilikuwa Mwiko kujadiliwa kwenye bunge lake, leo kuna nini hadi Ndugai awe upande wa Wananchi?
Je, kwa kauli zake hizo mpya tumuweke kwenye yale makundi ya mnyukano ndani ya CCM , na yeye yuko Team Mwendazake, na JE ATAENDELEA KUVUMILIWA KWENYE CHEO CHAKE?