Job Ndugai kuvuliwa Uspika wa Bunge?

Job Ndugai kuvuliwa Uspika wa Bunge?

Kujifananisha na nchi safi zisizo na mashetani si sawa huku wanakopa na kula mkopo personally afu wanaongeza tozo ndio zirecover
 
Ndugai hakumaanisha serikali isikope,alikua anatolea ufafanuzi kwanini tozo zilikubaliwa bungeni,na kwa jinsi ilivyo bila tozo na mikopo unadhani hali ingekuaje.
Tozo zinapunguza ukali wa mikopo,bila tozo kila kitu kingekua kinafanyika kwa mikopo
Hujamuelewa ndugai wewe kwa kifupi ndugai analalamika deni la mkopo limekuwa kubwa sana tirion 70 nchi inaweza kuuzwa.
Na pia analalamika kwa nini rais kakopa 1.3 tirion zakovid kujengea madaras wakati serikali ilishakubali kwamba madarasa yajengwe kwa tozo za simu.
Wewe utakuwa hujamuelewa ndugai au unaleta siasa zako za maji taka embu kamsikilize vizuri
 
Tunajua wachawi wa Ndugai wako Chadema huko ndani ya BAWACHA.

Sasa mnahangaika kuzalisha mgogoro ndani ya CCM ili mnufaike.

Uzuri ni kwamba CCM wanawapotezea na vipost chonganishi vyenu toka vijiweni mnakouguza majeraha ya kukosa ubunge.
Wewe umzima kweli??
 
Mama hawezi muundia zengwe ataona aibu!sema msoga camp wangetaka hata pm aliepo aondolewe sema bas tu hawana uwezo tu!!!
 
Kwa kipindi cha miaka zaidi ya mitano , kile kilichoitwa kipindi cha awamu ya 5 , Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliuwa kinyama Mhimili wa Bunge na kuufanya sehemu ya Serikali ile , Ndugai alikuwa anahudhuria hata uzinduzi wa vyoo vya shule , stendi na masoko , tena vile vilivyofadhiliwa na wazungu baada ya serikali ya Tanzania kushindwa kuvijenga , hata hivyo hakuwahi kufungua mdomo wake kukemea mambo hayo , hii ni kwa sababu mzinduaji alikuwa boss wake .

Leo kwasababu zisizofahamika Ndugai yuleyule anajifanya ni mwenye huruma na Nchi kwa kumpiga Spana Kiongozi wake na kumtahadharisha kuhusu deni la Taifa !

Ni kweli kwamba ukopaji usio na tija ndio umetufikisha hadi mahali ambako Dunia imetuweka kwenye kundi la nchi vimeo ambazo soon zitakuwa hazikopesheki , Bali msemaji wa Jambo hili hakupaswa kuwa Job Ndugai , huyu alishabikia kila uchafu wakati wa awamu ile ikiwemo ukopaji ambao matumizi ya hela hizo ilikuwa Mwiko kujadiliwa kwenye bunge lake , leo kuna nini hadi Ndugai awe upande wa Wananchi ?

Je kwa kauli zake hizo mpya tumuweke kwenye yale makundi ya mnyukano ndani ya ccm , na yeye yuko Team Mwendazake , na JE ATAENDELEA KUVUMILIWA KWENYE CHEO CHAKE ?

View attachment 2060558
Nilashawahi kusema mara nyingi kuhusu madhara ya Bunge kibogoyo
 
Hii ni hoja? Kuna nchi iliwahi kuishi bila kukopa? Haya maswali wakati anapitisha tozo aliyauliza? He better shut up. Hana legitimacy hata kidogo kukosoa kile alichokisifu mwaka mmoja uliopita.
Hoja ya spika ni tozo za nini ikiwa bado tunakopa kujenga madarasa
 
Kwa kipindi cha miaka zaidi ya mitano , kile kilichoitwa kipindi cha awamu ya 5 , Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliuwa kinyama Mhimili wa Bunge na kuufanya sehemu ya Serikali ile , Ndugai alikuwa anahudhuria hata uzinduzi wa vyoo vya shule , stendi na masoko , tena vile vilivyofadhiliwa na wazungu baada ya serikali ya Tanzania kushindwa kuvijenga , hata hivyo hakuwahi kufungua mdomo wake kukemea mambo hayo , hii ni kwa sababu mzinduaji alikuwa boss wake .

Leo kwasababu zisizofahamika Ndugai yuleyule anajifanya ni mwenye huruma na Nchi kwa kumpiga Spana Kiongozi wake na kumtahadharisha kuhusu deni la Taifa !

Ni kweli kwamba ukopaji usio na tija ndio umetufikisha hadi mahali ambako Dunia imetuweka kwenye kundi la nchi vimeo ambazo soon zitakuwa hazikopesheki , Bali msemaji wa Jambo hili hakupaswa kuwa Job Ndugai , huyu alishabikia kila uchafu wakati wa awamu ile ikiwemo ukopaji ambao matumizi ya hela hizo ilikuwa Mwiko kujadiliwa kwenye bunge lake , leo kuna nini hadi Ndugai awe upande wa Wananchi ?

Je kwa kauli zake hizo mpya tumuweke kwenye yale makundi ya mnyukano ndani ya ccm , na yeye yuko Team Mwendazake , na JE ATAENDELEA KUVUMILIWA KWENYE CHEO CHAKE ?

View attachment 2060532View attachment 2060533
Anavuliwa uspika.
Erythrocyte anakuwa spika. Anapitisha kwa njia ya dharura sheria ya kuruhusu ugaidi. Linapitishwa azimio la bunge kuilazimisha serekali imuachie huru gaidi mkuu
 
Naami kabisa kunatokea Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM,au huko ndani mambo si shwari,au huyu Mama kuna Hatari akaingia mitini kabla ya kumalizia miaka iliyobaki,au Tusubili vifo vingine vya watu wazito
Hilo la kuingia mitini hata mimi naliona
 
Nahisi watu hawajamuelewa SPIKA, alichokuwa anasema TOZO zimesaidia sana, imepunguza ukali wa MIKOPO ambapo hali ilikuwa mbaya sana.
 
Ndugai hakumaanisha serikali isikope,alikua anatolea ufafanuzi kwanini tozo zilikubaliwa bungeni,na kwa jinsi ilivyo bila tozo na mikopo unadhani hali ingekuaje.
Tozo zinapunguza ukali wa mikopo,bila tozo kila kitu kingekua kinafanyika kwa mikopo
Wewe ndo ndugai? Haya jibu na hili,aliposema mkopo wa 1.3 tr nchi yote inapiga makofi!! Alimaanisha Nini?

Sijawahi kumwelewa ndugai,na sijui akili zake zikoje
 
Kwa kipindi cha miaka zaidi ya mitano , kile kilichoitwa kipindi cha awamu ya 5 , Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliuwa kinyama Mhimili wa Bunge na kuufanya sehemu ya Serikali ile , Ndugai alikuwa anahudhuria hata uzinduzi wa vyoo vya shule , stendi na masoko , tena vile vilivyofadhiliwa na wazungu baada ya serikali ya Tanzania kushindwa kuvijenga , hata hivyo hakuwahi kufungua mdomo wake kukemea mambo hayo , hii ni kwa sababu mzinduaji alikuwa boss wake .

Leo kwasababu zisizofahamika Ndugai yuleyule anajifanya ni mwenye huruma na Nchi kwa kumpiga Spana Kiongozi wake na kumtahadharisha kuhusu deni la Taifa !

Ni kweli kwamba ukopaji usio na tija ndio umetufikisha hadi mahali ambako Dunia imetuweka kwenye kundi la nchi vimeo ambazo soon zitakuwa hazikopesheki , Bali msemaji wa Jambo hili hakupaswa kuwa Job Ndugai , huyu alishabikia kila uchafu wakati wa awamu ile ikiwemo ukopaji ambao matumizi ya hela hizo ilikuwa Mwiko kujadiliwa kwenye bunge lake , leo kuna nini hadi Ndugai awe upande wa Wananchi ?

Je kwa kauli zake hizo mpya tumuweke kwenye yale makundi ya mnyukano ndani ya ccm , na yeye yuko Team Mwendazake , na JE ATAENDELEA KUVUMILIWA KWENYE CHEO CHAKE ?

View attachment 2060558
Tuna rekodi ya waziri mkuu, ila hatuna rekodi ya mhimili mmojawapo wa serikali kufurumishwa ama kuachia ngazi kwa namna yeyote ile tofauti na umauti.

Kwa akili ya Ndugai anaweza, huyu bwana Spika ukimwangalia ni kama chizi chizi hivi ila ana utimamu mkubwa sana kuliko government/judicial/parliamentary officials wengi.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom