Job Ndugai kuvuliwa Uspika wa Bunge?

Job Ndugai kuvuliwa Uspika wa Bunge?

Ndugai hakumaanisha serikali isikope,alikua anatolea ufafanuzi kwanini tozo zilikubaliwa bungeni,na kwa jinsi ilivyo bila tozo na mikopo unadhani hali ingekuaje.
Tozo zinapunguza ukali wa mikopo,bila tozo kila kitu kingekua kinafanyika kwa mikopo
Mdogo mdogo kuna muda ukifikiria, unaelewa why hizi tozo wameweka
 
Tunajua wachawi wa Ndugai wako Chadema huko ndani ya BAWACHA.

Sasa mnahangaika kuzalisha mgogoro ndani ya CCM ili mnufaike.

Uzuri ni kwamba CCM wanawapotezea na vipost chonganishi vyenu toka vijiweni mnakouguza majeraha ya kukosa ubunge.
Wangekuwa na akili huo mgongano wangeuchukulia kwa faida yao .
 
Ndu.gay anapenda kusikia kauli maarufu na pendwa ya awamu ya tano "Tunajenga kwa fedha zetu za ndani" mwambieni ashtuke dereva kashabadilika sio yule tena aliyemzoea
 
Ni kweli kwamba ukopaji usio na tija ndio umetufikisha hadi mahali ambako Dunia imetuweka kwenye kundi la nchi vimeo ambazo soon zitakuwa hazikopesheki , Bali msemaji wa Jambo hili hakupaswa kuwa Job Ndugai , huyu alishabikia kila uchafu wakati wa awamu ile ikiwemo ukopaji ambao matumizi ya hela hizo ilikuwa Mwiko kujadiliwa kwenye bunge lake , leo kuna nini hadi Ndugai awe upande wa Wananchi
Nadhani habari zilizopo umezisikia
 
Job Ndugai anasaka cheap popularity. Uozo wote uliopo nchini yeye kwa namna moja au nyingine anahusika nao
swali: Ndugaye.. je ameshavuliwa USPIKA? na kwanini kapeleka barua kwenye chama chake badala ya kumuandikia katibu wa bunge?
 
Ni kweli kwamba ukopaji usio na tija ndio umetufikisha hadi mahali ambako Dunia imetuweka kwenye kundi la nchi vimeo ambazo soon zitakuwa hazikopesheki , Bali msemaji wa Jambo hili hakupaswa kuwa Job Ndugai, huyu alishabikia kila uchafu wakati wa awamu ile ikiwemo ukopaji ambao matumizi ya hela hizo ilikuwa Mwiko kujadiliwa kwenye bunge lake , leo kuna nini hadi Ndugai awe upande wa Wananchi
Tzn haipo huko,pili kuna Nchi zina madeni zaidi ya 100% na zinakopesheka.

Mikopo ya Nchi sio sawa na mikopo yenu ya Saccos so usipotoshe.

Mwisho ishu sio kukupa bali unakopa mkopo wa aje,unatumia vipi na je una weza kulipa? Sasa sisi tunalipa tatizo ni nini?
 

Mwambieni Lisu atuonyeshe ni lini na wapi aliwahi kumuona spaka anaetokana na chama cha democrats au Republican au chochote anakuwa mpinzani wa serikali ya chama chake.

Mkipata huyo spika mnitag vinginevyo hizi ni fitina za kipuuzi tuu ndio maana hata kwenye chama Chao Mbowe akikohoa wote wanakuwa digidigi utawakuta uvunguni 😃😃
 
Hapana mtetezi wa covid19 ndio mkweli.
Ndugai anaonyesha uchungu kwa nini mama maushungi alimuingiza kenge akubali kupitisha tozo za miamala ya simu ili zitumike kujenga madarasa na vituo vya afya.
Sasa anacholaumu subwoofer ni kwanini maushungi amekwenda kukopa fedha za kovid kwa ajili ya kujenga hayohayo madarasa? Mkopo ambao utalipwa na riba
Subwoofer anahisi amesnitchiwa kwa wananchi kwa kuwabebesha mzigo wa tozo.
Kama vipi basi tozo zifutwe si tunasikia majisisiem inavyojisifia kwamba haijawahi kutokea madarasa yamejengwa ya kutosha
Mhhhh nawaza kwa sauti
 
Mliambiwa usipokuwa na upinzani wa nje, mtakuwa na upinzani wa ndani. Sasa mtaelewa
Kwahiyo upinzani ni upinzani tu. uwe wandani au nje. Lakini sasa naona bora upinzani wa nje hakuna kujiudhuru
 
Back
Top Bottom