Job Ndugai huyu hapa, yuko bize jimboni kusaidia wapiga kura

Hawa wajinga wanadhani Lisu ni issue tena! Lisu anamatatizo ya afya ya akli kila siku kuropoka!
Utapiamlo wa akili ndio unakufanya utapike haya, ungekuwa na akili usingetapika haya mataputapu!
W aliosababisha huu ukilema wake si ndio nyie ?
Nakushauri tumia muda wako mwingi kuomba hekima na busara toka kwa Muumba.
 
Mbona uso unaonesha bado Yuko chini ya ulinzi? Chama Dola mnajua kucheza movie🤣
 
Bado hujaridhika tu? Watanzania Chuki za kijinga zinagandisha akili zenu ndo maana hatusogei Taifa lina vijana wa hovyo kama wewe.
Lazima Ndugai kasoma post za wadau.
Kikombe kile kile alichowanywesha wengine kilikuwa kinamsubiri akinywe , asingeonekana bungeni.
Kashtuka!
Sasa backbencher.
 
Alitumia lugha isiyo ya kibunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…