and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
Wajibu wake Mkuu ni kusambaza barua na vipeto. Hivi Kuna watu bado wanaandikiana barua ukiacha Halmashauri?Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
Kusafirisha vifurushi (currier services) japo mteja mkubwa ni Serikali. Watu binafsi wanatumia zaidi mabus. Serikali documents na confidential materialsHiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.