Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,139 Reaction score 859,408 Aug 3, 2026 #1 Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,470 Reaction score 188,313 Aug 3, 2026 #2 Kupenda usipopendwa, and vice versa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,139 Reaction score 859,408 Aug 3, 2026 Thread starter #3 cocastic said: Kupenda usipopendwa, and vice versa. Click to expand...
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,123 Reaction score 165,988 Aug 3, 2026 #4 Mshana Jr said: Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana? Click to expand... Kikulacho ki nguoni mwako
Mshana Jr said: Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana? Click to expand... Kikulacho ki nguoni mwako
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,139 Reaction score 859,408 Aug 3, 2026 Thread starter #5 Bujibuji Simba Nyamaume said: Kikulacho ki nguoni mwako Click to expand... Adui hatoki mbali
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,123 Reaction score 6,207 Aug 3, 2026 #6 Mshana Jr said: Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana? Click to expand... Aisee nilipoona JLW nikajua lile lenyewe😄. Aisee mbinguni mbali sana. Mimi siri yangu mpaka naona aibu kuisema
Mshana Jr said: Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana? Click to expand... Aisee nilipoona JLW nikajua lile lenyewe😄. Aisee mbinguni mbali sana. Mimi siri yangu mpaka naona aibu kuisema
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,926 Reaction score 37,988 Aug 3, 2026 #7 Mshana Jr said: Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana? Click to expand... Vingi mno , vingi sana . Ila kimoja wapo ni kupoteza freedom yako wewe mwanaume mpaka kurudi kwenye ardhi. Ndio maana mimi siku moja moja na chukua chumba na kaa peke yangu kutwa nzima ama usiku mzima .
Mshana Jr said: Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana? Click to expand... Vingi mno , vingi sana . Ila kimoja wapo ni kupoteza freedom yako wewe mwanaume mpaka kurudi kwenye ardhi. Ndio maana mimi siku moja moja na chukua chumba na kaa peke yangu kutwa nzima ama usiku mzima .
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,139 Reaction score 859,408 Aug 3, 2026 Thread starter #8 Bujibuji Simba Nyamaume said: Kikulacho ki nguoni mwako Click to expand... Adui hatoki mbali