ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,259
- 40,896
π€£π€£Kweli kabisa, sisi tulianza, tunaendelea, na tutamaliza hivi hivi.
Vikaragosi wasipate nafasi ya kutuingilia, right?
Mambo ya malovee ni kasheshe
We cheka tu!π€£π€£
Sijawahi kukuaminiWe cheka tu!
Alikua na mpenzi Jinπ€£π€£π scared π±Pole sana kaka. Katika wapenzi wako wote aliyekuwa anakufaa maishani ni lile jini la Mwananyamala kwa Kopa
We niamini tu, hutapungukiwa na chochote.Sijawahi kukuamini
Sawa mzee wa kukoleza mwandikoWe niamini tu, hutapungukiwa na chochote.
Mwandiko wala Mimi siukolezi, huu ni upendeleo niliopewa na uongozi wa JF. Kila nikiandika nakuta wino imekuwa mzito.Sawa mzee wa kukoleza mwandiko
π€£π€£π€£ tayari unapakua minyamaMwandiko wala Mimi siukolezi, huu ni upendeleo niliopewa na uongozi wa JF. Kila nikiandika nakuta wino imekuwa mzito.
Tambua kuwa mimi ni Ayatollah wa JF.
Sipendi kabisa kujisifu, lakini najikaza tu. Imagine nasifiwa hadi naona aibu ππ€£π€£π€£ tayari unapakua minyama
Shenziiiiii ewe mtoto wa mdinya kobeπ€£Sipendi kabisa kujisifu, lakini najikaza tu. Imagine nasifiwa hadi naona aibu π
Haya bwana! πShenziiiiii ewe mtoto wa mdinya kobeπ€£
Mlianza na nani?Kweli kabisa, sisi tulianza, tunaendelea, na tutamaliza hivi hivi.
Vikaragosi wasipate nafasi ya kutuingilia, right?
Badoo.Bado?
Unanicheka Gran pah. ππππππ
Uduguu nionee huruma hata kidogo, ππππΉπΉπΉ