Halafu mnajazana ujinga wenyewe mtaoona na mtatoboa ๐นHalafu husiano la kwanza linakuwaga kati ya mtu asie na Pesa ( Pampula) ๐ na mdada anaehudumiwa na wazazi wake
๐ ๐ ๐ Nilijua nimesoma vizuri kiswahili na vitenzi vyake.Kila kitu? Hubaniwi? Hupunjwi?
Hii kweli ankal ๐นAnkal..๐๐๐ฟDah..!
Unapisha wengine wanaingia ๐Hizi mada nikizisoma hua mood ya mahusiano inakata kabisa
Ndio maana now mahusiano hayadumu unakuta upo inlove kwa mpenzi wa mtu
Unampenda mtu mwenye matrauma makovu mabichi hajapona
Mwisho unaambulia maumivu
Imagine una mpenda mtu mwenye mpenzi wake ๐
*Mwisho unaambulia maumivuHizi mada nikizisoma hua mood ya mahusiano inakata kabisa
Ndio maana now mahusiano hayadumu unakuta upo inlove kwa mpenzi wa mtu
Unampenda mtu mwenye matrauma makovu mabichi hajapona
Mwisho unaambulia maumivu
Imagine una mpenda mtu mwenye mpenzi wake ๐
Unavyoniona nafanania kung'ang'ana ?Unapisha wengine wanaingia ๐
Mshindi atapatikana baada ya masaa 72 ๐
Sio tu mwenye mpenzi wake tu*Mwisho unaambulia maumivu
Imagine una mpenda mtu mwenye mpenzi wake*,๐ฅบ๐๐ฟโโ
Kweli kabisa, sisi tulianza, tunaendelea, na tutamaliza hivi hivi.Mimi sina ex hivyo sikumbuki chochote..!!
Duhsiri gani inayomfanya mtu mzima ashindwe kusahau mapenzi yake ya kwanza? Karibuni jukwaani tufunguke."
Kasheshe ipo hapo D๐Makovu bado mabichi ila mioyo imekufa ganzi.. Haihisi maumivu tena๐ญ๐๐ฟ
Pole sana kaka. Katika wapenzi wako wote aliyekuwa anakufaa maishani ni lile jini la Mwananyamala kwa KopaNikikumbuka niliweka kitovuni huwa siwezi kusahau hii moment๐