D Dj chisu Member Dec 6, 2013 10 0 Dec 22, 2013 #1 Tangazo hilo limetolewa leo na mkuu wa wilaya ya Ileje ,,,, wilaya hiyo ikiwa imepewa nafasi 9 tu
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Nov 16, 2011 4,711 4,644 Dec 22, 2013 #2 duh!nafasi 9 tu?si tone tu hili katika bahari
Balozi wa Dodoma JF-Expert Member Dec 22, 2013 477 177 Dec 22, 2013 #3 Dj chisu said: Tangazo hilo limetolewa leo na mkuu wa wilaya ya Ileje ,,,, wilaya hiyo ikiwa imepewa nafasi 9 tu Click to expand... buha aha aha ah
Dj chisu said: Tangazo hilo limetolewa leo na mkuu wa wilaya ya Ileje ,,,, wilaya hiyo ikiwa imepewa nafasi 9 tu Click to expand... buha aha aha ah
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 Dec 22, 2013 #4 makubwa na majanga yake hayo 9 hao ni watoto wa Dc na familia yake.
M MAJANI KAJUAMUNGU Member Dec 5, 2012 47 3 Dec 22, 2013 #5 Aaaaah!nafasi 9?inakera au ndo kutengeneza fedha kwa rushwa maana vjana watahonga xana.
Daddo JF-Expert Member Jan 17, 2013 1,434 1,020 Dec 22, 2013 #6 CATION said: makubwa na majanga yake hayo 9 hao ni watoto wa Dc na familia yake. Click to expand... Mimi huwa siwaelewi watu wa humu ndani. Mda fulani unakuta wanaiponda jkt sana tu leo wametoa nafasi 9 mnasema ni chache hivi kweli watz tunajielewa?
CATION said: makubwa na majanga yake hayo 9 hao ni watoto wa Dc na familia yake. Click to expand... Mimi huwa siwaelewi watu wa humu ndani. Mda fulani unakuta wanaiponda jkt sana tu leo wametoa nafasi 9 mnasema ni chache hivi kweli watz tunajielewa?
Balozi wa Dodoma JF-Expert Member Dec 22, 2013 477 177 Dec 23, 2013 #7 Mianya ya rushwa. Ila km unaamini kwenye MUNGu nenda mkafight. U never know.
Eddy Love JF-Expert Member Jul 25, 2011 13,652 8,542 Dec 23, 2013 #11 Daddo said: Mimi huwa siwaelewi watu wa humu ndani. Mda fulani unakuta wanaiponda jkt sana tu leo wametoa nafasi 9 mnasema ni chache hivi kweli watz tunajielewa? Click to expand... maisha yashakuwa magumu acha tujichanganye humo humo
Daddo said: Mimi huwa siwaelewi watu wa humu ndani. Mda fulani unakuta wanaiponda jkt sana tu leo wametoa nafasi 9 mnasema ni chache hivi kweli watz tunajielewa? Click to expand... maisha yashakuwa magumu acha tujichanganye humo humo
D Dj chisu Member Dec 6, 2013 10 0 Dec 24, 2013 Thread starter #12 Kuhusu vigezo nitafuatilia leo then nita post hapa hapa kwani alivisoma kwa haraka2 na tangazo halijabandikwa bado.......
Kuhusu vigezo nitafuatilia leo then nita post hapa hapa kwani alivisoma kwa haraka2 na tangazo halijabandikwa bado.......