Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Naombakuuliza jamani!
Hivi hayo Mafunzo ya JKT ni ya muda gani kulingana na taratibu zao?
Huwa ni kawaida kwamba nafasi zote zinazoltolewa na jkt huwa ni za mfumo huu huu wa kujitolea?
Vipi na wenye profession zao?
Duh, ni muda mrefu kidogo. Unamaanisha ndo unaweza sasa kuoa?Take maximum 4 yrs mkuu. Hapo ndo utakuwa umetulia.
Mkuu nimepewa data na mdogo wangu ambaye amepitia jkt last year (form 6) kanipa dondoo chache kuhusiana na salaries za hawa watu wa majeshi..
Kuna hawa wanajeshi ambao hawana vyeo kabisa (wenyewe wanajiita 'private' according to mdogo wangu) kwamba wao wanakula zaidi ya Tshs laki 8 take home na promotions kibao!
Halafu hawa wenye nyota, kwa kila nyota thamani yake ni 1 mil.
(Aliniambia sometimes walikuwa wakioneshwa salary digits..)
Mkuu unasemaje kuhusu hizo data?
zinaweza kuwa za kweli?
Wow, this is good range! Ngoja nifikirie tena.Kipind hiki ukitimiz miaka 25 ukiwa umesha zama JWTZ unaruhusiwa kuwa na familia. Unaweza settle ukidhapia depo la jw kwa umri, kozi kozi zipo. Maana hata wenye familia huwa wanaacha family kwa muda na kupiga kozi then unarudi kama kawa kwa Mkeo
Kwa makadilio ni kama 2years
Hiari yako kwenda na hakuna guarantee ya ajira. Ova
Jipange kisaikolojia for the worst huku ukiomba for the best
Miezi sita halafu unapewa mkataba wa kaMa utachaguliwa kubaki kambini .....mkataba utachukua miaka miwili..sasa ndani ya hiyo miaka miwili ndipo halo unaweza chaguliwa kwenda kozi kwenye majeshi mpaka ajira....mkataba ukiisha na hukuchaguliwa kitaa kunakuhusu ndio hawa waliotaka kuandamana juzi hahahaha .....wazalendoooo!!!....afandeeeeee!
Mkuu umepitia JKT……?
Mkuu umepitia JKT……?
jambo la kutambua kumfundisha mtu kilimo si kumpa eneo kubwa la kilimo. na hilo ndilo wengi wanalofanya. kilimo kinaanzia kwenye kufanya maamuzi ya ni kitu gani ulime kwa kuangalia soko, kuangalia hali ya hewa na mazingira, kilimo kinakwenda mpaka kwenye umuhimu wa matumizi ya mbole, jinsi ya kutafuta masoko na kufanya maamuzi kutokana na matokeo jumla ya msimu uliopita kwa ajili ya msimu unaofuata.
swala kama hili la kilimo tulitegemea jkt mfano kushirikiana na SUA au kutumia wataalamu ili vijana wapate mbinu zote na wazifanyie majaribio. lakini wengi wanasema kinachofanyika ni kulima eneo kubwa basi kwa maana mnaweza kuwa mnatengeneza vibarua wazuri wa kwenye mashamba kwa maana wana uwezo wa kulima eneo kubwa lakini si wakulima kwa maana hawana elimu ya kilimo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Mkuu umepitia JKT ?
Ndio maana jkt wanataka watu wa #kujitolea , hilo neno nafikiri linabeba uzito kidogo wa dhana ya jkt. Sidhani kama hawa vijana wa kujitolea wanakwenda huko kupewa mafunzo ili wawe wakulima wazuri au wajasiriamali wazuri. Zamani watumishi wote wa umma ilikuwa ni lazima wapitie huko, kwa nini sasa? Pengine dhana ya msingi ya jkt ni kufundisha watu uzalendo.jambo la kutambua kumfundisha mtu kilimo si kumpa eneo kubwa la kilimo. na hilo ndilo wengi wanalofanya. kilimo kinaanzia kwenye kufanya maamuzi ya ni kitu gani ulime kwa kuangalia soko, kuangalia hali ya hewa na mazingira, kilimo kinakwenda mpaka kwenye umuhimu wa matumizi ya mbole, jinsi ya kutafuta masoko na kufanya maamuzi kutokana na matokeo jumla ya msimu uliopita kwa ajili ya msimu unaofuata.
swala kama hili la kilimo tulitegemea jkt mfano kushirikiana na SUA au kutumia wataalamu ili vijana wapate mbinu zote na wazifanyie majaribio. lakini wengi wanasema kinachofanyika ni kulima eneo kubwa basi kwa maana mnaweza kuwa mnatengeneza vibarua wazuri wa kwenye mashamba kwa maana wana uwezo wa kulima eneo kubwa lakini si wakulima kwa maana hawana elimu ya kilimo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Serikali ni system mkuu. Ukilielewa hili utapata maana nyingi sana.
HINTS:
Systema inatengenezwa na sekta nyingi nyingi na kila sekta inawajibu na kazi yake...
Nchi ikiwa na wanasiasa, au wachumi peke yake, au madaktari pekeee hiyo si nchi iliyo kamilika.
Mawazo yako yapo kwenye kujenga uchumi directly ila jua kuna tactics.huweza tumika kujenga uchumi na Taifa indirectly na kuleta positive impact kubwa tu.
Yah ni kweli, ila ukirejea tangazo lao walilolitoa mwishoni mwa mwaka jana walitoa angalizo. Kwamba kwenda JKT kujitolea co ndo kwamba watakuhakikishia ajira. Yawezekana uhitaji wa hayo majeshi ukawa ni mdogo kuliko watu walioko jkt, (demand kubwa kuliko supply) hapa watu wa uchumi watanielewa.
Kwa hapo sasa wenyewe na taratibu zao ndo watakaoamua mkuu.
nadhani bado niko kwenye majukumu ya taasisi yenu kwa maana.
taasisi yenu inaweza kutekeleza wajibu wake kwa kukabiliana na matatizo yanapokuwa yamekwisha tokea au ikajikita katika kuzuia matatizo hayo kabla hayajatoea.
hivyo nimekwambia njia ninayopendekeza inalenga kuzuia matatizo kabla hajatokea kwa kuangalia matatizo tuliyonayo na kuyaona yanaweza kutupeleka kwenye matatizo hivyo badala ya kuyasubiri kwa nini tusiyazuie mapema.
nadhani hilo bado linakuwa liko kwenu na ukiangalia SUMA JKT ina malengo gani ?
Ngoja niombe mungu kwa hili