Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Nafasi za kujitolea?
Hii kauli inamaanisha kwamba ??
Hiari yako kwenda na hakuna guarantee ya ajira. Ova
Duh! Mkuu mbona hiyo ni risk sana!
Vipi miaka iliyopita scale inaoneshaje kwa waliojitolea??
Bado wako mitaani ama tayari?
Wapo ambao wako mtaani, wengine wamebaki kwny makambi na wengine wamebahatika kupata ajira. So kila mtu kule na bahati yake
Nashauri makamanda tujiunge kwa wingi ili wakati wa kuingia msituni tusipate shida maana taifa linaelekea huko.
Huwa ni kawaida kwamba nafasi zote zinazoltolewa na jkt huwa ni za mfumo huu huu wa kujitolea?
Vipi na wenye profession zao?
Kule chakula bure tena menyu ya kufa MTU na posho juu so kwanini watu wasikimbilie hahahaKwanini watu wanaendelea enda huko jeshini? Je hawana cha maendeleo kufanya kwa ajiri ya maisha yao?
Kwa hilo mkuu cna uwelewa zaid, ila waweza pitia fom ya maelekezo wameweka kila kitu kuanzia drs la saba mpk shahada na qualification zao.
Nashauri makamanda tujiunge kwa wingi ili wakati wa kuingia msituni tusipate shida maana taifa linaelekea huko.
kama una professional nenda tu we we nafasi za kadeti zikitoka we we hutokosa au hautaki kuitwa liuetenant ExcelHuwa ni kawaida kwamba nafasi zote zinazoltolewa na jkt huwa ni za mfumo huu huu wa kujitolea?
Vipi na wenye profession zao?
Nimepitia vizuri mkuu hizo vigezo zao.
Tatizo linakuja hapo mtu ana profession yake nzuri tu halafu mwisho wa siku awe hana uhakika wa ajira.
Sasa nimejaribu kuangalia na waliopita labda wamekumbana na kadhia ya ukosefu wa ajira ama la wakati wana viwango...
Huko naambiwa Majeshi yote hupitia kuchukua watu wanaofaa, sasa itakuwaje probability ya kukosa ajira iwe kubwa?
Safari hii wamewajumuisha wanachuo.Nime screenshot
Safari hii wamewajumuisha wanachuo.
kama una professional nenda tu we we nafasi za kadeti zikitoka we we hutokosa au hautaki kuitwa liuetenant Excel
Yah ni kweli, ila ukirejea tangazo lao walilolitoa mwishoni mwa mwaka jana walitoa angalizo. Kwamba kwenda JKT kujitolea co ndo kwamba watakuhakikishia ajira. Yawezekana uhitaji wa hayo majeshi ukawa ni mdogo kuliko watu walioko jkt, (demand kubwa kuliko supply) hapa watu wa uchumi watanielewa.
Kwa hapo sasa wenyewe na taratibu zao ndo watakaoamua mkuu.