Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,598
- 5,187
Habari wana jamii natumaini muwazima wa afya.Kwa ufupi mimi ni mhitimu wa kidato cha 4, mwaka 2009 ,NImehangaika sana kupata nafasi ya jkt tangu2010BILA MAFANIKIO,leo hiinafasi zimetoka pia na kwa bahati nzuri nimempata refarii wa kuweza kunisaidia ila kikwazo ni kwamba baada ya kufuatilia kwa kina akabaini kuwa nafasi zile ni kwa ajili ya kuwawezesha kuitegemea baada ya kumaliza mafunzo ingawa mtu anaweza bahatika akachaguliwa kujiunga na majeshi yetu kabla ya kuMALIZIKA mafunzo Ambayo ni ya miaka miwili .lengo langu ni kupata ajira ambayo itapunguza japo NJAA nilyonayo naombeni msaada wenu NIENDE AMA NISIENDE