pole mkuu,tatizo sio fani wala matokeo ya form four ,vipo vigezo vingi sana ambavyo wengi hatuzingatii,inawezekana ukawepo ubatili,but kama ana sifa aende mkoani cku ambayo wenzake wanaenda,hakikisha afya njema,magonjwa hadi muonekano usilete mashaka,amezaliwa kati ya mwaka 1991 hadi 1995,awe na vyeti original vyote,living,academic,birth na cheti za ujuzi kama anacho atafikiriwa,