usernameyangu
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 249
- 360
Unafunzwa kutojali hali au mazingira ...yaani hata kwenye maji machafu unalala ili kumvizia adui au kukwepa risasi ya adui...
Jeshi raha sanaNatamani jeshi mwenzenu!!!
wee macho yako yanaonesha wanagalagala kwenye "vumbi"?! kumbe nimezeeka aiseehilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.
Msange kj 823 op........ Sir yngNdio mkuu nilipita jkt huko kwa mujibu wa sheria uko Tabora
Sawa Sawa Pot msange hiyo fulu root za yombo, mbola, kwa msukuma..Moja nzuri tano milionMsange kj 823 op........ Sir yng
Ile kambi acha. Kuna baridi hatari,Cc tumemkuta co lut canal mkisi sasa ni kanali nkya ni kepten ila ile kambi ina baridi balaaaa 841 daah nataman kurudi
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Papuchi inakula tope kama haina akili nzuri vile.
Ww bila shaka utakuwa utakuwa op kilimo kwanzaDah!! Inanikumbusha mbali sana pale 841 kj chini ya mbabe wa kivita E.Malembo, Lt nkya , 2lt liund, Oc Charlie coy chini ya makamanda William sagara, patrc luta aiseee!!
Mm sitaki hata kusikia siwezi kurudiaUmenikumbusha mbali sana mkuu,Kama kungekuwa na uwezekano wa kurudia tena ningekuwa wa kwanza.