JKT mwaka huu vipi wakuu mwenye dondoo😕😕

We subili zikitoka watatangaza kwenye vyombo vya habari na kwenye wavuti ya JKT,bila shaka maelezo yote yatakuwa wazi namna ya kujiandikisha
 
Sawa sawa kakaa,, ila mwaka huu wamechelewa sana had nawasiwasi zinaweza zisiwepo mwaka huu
We subili zikitoka watatangaza kwenye vyombo vya habari na kwenye wavuti ya JKT,bila shaka maelezo yote yatakuwa wazi namna ya kujiandikisha
a
 
Unataka ukale ugali wa bure eeh?
Komaa kitaa maana hata ukienda JKT bado utarudi kunako kitaa[emoji41] [emoji41]
Hapana kaka mie nimemaliza form six mwaka huu na matokeo mazur tu na division two ya kumi but my partion since i was child nikuitumikia nchi yang kupitia vyombo vya ulinz na usalamaa na jkt ndo njia pekee ya kunifikisha ukoo sina partion na kusoma chuo kabisaa
 
Unataka ukapoteze muda mkuu..japo miaka miwili!
 
lugha za ng'ambo hizi hadi kwa wasomi!!
PARTION ni mbadala wa PASSION au kizungu changu kimeisha makali mrm form six mwenye div. 10!!!! nimejaribu kuiwaza namna ilivyotumika sijaamini kama nimeshindwa kung'amua maana iliyofichika, ngoja niwasubiri waliovuka elimu yangu ya darasa la 3B waseme jambo.
 
T

typing error kakaa lkn cumeelewa🤕go straight to our topic na co hayo majunguu ayasaidii i think umenielewa bila kukukwazaa
 
lugha za ng'ambo hizi hadi kwa wasomi!!
PARTION ni mbadala wa PASSION au kizungu changu kimeisha makali mrm form six mwenye div. 10!!!! nimejaribu kuiwaza namna ilivyotumika sijaamini kama nimeshindwa kung'amua maana iliyofichika, ngoja niwasubiri waliovuka elimu yangu ya darasa la 3B waseme jambo.
Smartphone zina typing error hata darasa la nne anajua jinsi yakuandika ilo neno kaka
 
Unataka ukapoteze muda mkuu..japo miaka miwili!
Mbona unanikatisha tamaa kaka ,, ww unazan njia ipi naweza nkapitia kupata ajira kwenye vyombo vya ulinzi na usalama bila kupitia jkt🤷🏿‍♂️
 
Mbona unanikatisha tamaa kaka ,, ww unazan njia ipi naweza nkapitia kupata ajira kwenye vyombo vya ulinzi na usalama bila kupitia jkt[emoji2379]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sikukatishi tamaa ila hali ilivyo huko kaka hata kubahatisha ni ngumu sema nenda tu mzee
 
Daaaah bac atar,, lkn co mbaya ngoja nika take risk cause ndo kitu ambacho nakipenda nikikosa ntarud mtaani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sikukatishi tamaa ila hali ilivyo huko kaka hata kubahatisha ni ngumu sema nenda tu mzee
Ngja nkajaribu kwan usahil unaanza lin mwaka huu mbona kimyaaa had mwez wa12 huu👋🏿
 
Back
Top Bottom