PYTHAGORAS WA MOSHI
Member
- Mar 2, 2014
- 5
- 0
Jaman kwa anayejua mwisho wa kuripoti kambini JKT
17 mwez wa 3
nshafika maliselo n noma huku na simu karibia 2nyanganywe siku ya kwanza 2mevuliwa nguo na vipara
nshafika maliselo n noma huku na simu karibia 2nyanganywe siku ya kwanza 2mevuliwa nguo na vipara
baada ya kuvuliwa mkafanywa nini?
kauli ya kikubwa ile..
Wamevuliwa nguo.
Hawezi kusema wame G.E.G.E.D.W.A
Aiseee
Aaahh aaahhh majeshi ya siku hizi. mimi NO.
Mmevuliwa nguo?
jamaa kasema wamevuliwa. ila hajasema dhumuni la kuvuliwa.