Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 678
- 308
Kuvuliwa nguo kwa ajili ya kupima afya na kuangalia kama ina tatoo au mshono ambao unaweza kukusumbua kipindi cha mazoezi,
Wanabaki na boksa au wanakua naked kabisa??
Kuvuliwa nguo kwa ajili ya kupima afya na kuangalia kama ina tatoo au mshono ambao unaweza kukusumbua kipindi cha mazoezi,
kauli ya kikubwa ile..
Wamevuliwa nguo.
Hawezi kusema wame G.E.G.E.D.W.A
huwa tunawavua nguo vijana kuangalia kama bado jicho halijavurugwa make vijana wengi hawaaminiki!!!