JKT Inaogopeshaa Sana

JKT Inaogopeshaa Sana

Lishe bora ina mfanya mtu kuelewa na kuwa na maarifa..JKT ni kujitolea na si vinginevyo na mkataba unasema hivyo na kwenda huko ni hiari yako sio amri uko utajifunza mambo mengi sana kilimo ufagaji ujenzi n.k ukirudi hizo skills zikusaidie katika maisha yako..Ukipata ajira ni bahati yako...Siku nyingine kabla ujapost akikisha umekula chakula bora..
Umemaliza[emoji3577]
 
Jidanganyeni urais ni taasisi nani anafaa kuwa rais njee ya ccm kwa upinzani??? Hakuna m2 mwingine zaid ya jpm tuwe serious tupo kwenye transition na rais wetu mtukufu tuwe wapole nendeni kapigeni kazi jkt sasa hv tunafanya miradi ya maendeleo inayowanufaisha moja kwa moja wtz wote ata korea kaskazini ambayo juzi trump kaenda kumpigia magoti kim joh huni imefika apo kwa kumpata mtu kama rais wetu iran inayomilik nyukilia egypt wanaojenga bwawa la kufua umeme wameamua kuacha siasa leo hii wanatujengea mradi mkubwa kama ule tuache siasa tumepata dereva mzuri ajira zote zitakuja baadae tukubari kuumia leo kwa faida ya baadae.

Aiseee. Ww are u serious?
 
JKT HAIAJIRI. ebu kuweni waelewa bhasi.kwani kule mtu kaitwa.si umejitolea na mkataba si mnausoma.sasa lawama ni za nn.kumamaqe.
 
vipi na hizo skills za kijeshi utazitumiaje mtaani?
Skills za kijeshi zinazoongelewa hapo ni uzalendo, uadilifu na uvumilivu.
Hayo mengine ya kutumia silaha wala hayana maana wala madhara.
Kwasababu, kuwa jambazi si lazima uwe umepitia mafunzo ya kijeshi.
Na hukumu kwa makosa hayo zipo wazi.
 
Mbona wamesharudi wengi na amani imeimarika, nyie kurudi ni awamu ya 30's.
Rudini mtaani mgange njaa.
 
Sidhani kama ni lazima kuajiriwa, mbona kuna watu kibao washamakiza vyuo mbalimbali hawajapata ajira ( walimu , madaktar, wauguzi ,bankers , HRs , nk
Kwan si nilisikia kujiunga ni hiyari
Kuna daktari yupo mtaani hana ajira?
 
Back
Top Bottom