KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 407
- 898
Tuwe na hurumaa na ubinadamu kwl serikali haina hela but tunaumiza hawa vijana wa JKT mnawarudishaa mtaani na mbinu za kijeshi mmewapa !! So what!!???
Mkiendelea hv ipo siku tutakuwa tunaishi kwa mashaka na amani tulionayo itavurugikaaa[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
Tuwe na hurumaa jamani
Karibuni kwa mchango wadau[emoji848][emoji848]
Mkiendelea hv ipo siku tutakuwa tunaishi kwa mashaka na amani tulionayo itavurugikaaa[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
Tuwe na hurumaa jamani
Karibuni kwa mchango wadau[emoji848][emoji848]