Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Wadau,niwaombeni ushauri,kijana wenu nimemalza form six hivi majuzi,na nilibahatika kwenda JKT na nikamliza kozi ya miezi mitatu.
Nilikuwa pia nimefanya michakato ya kujiunga na chuo na nimepata kozi ya BBA,
Leo nimepigiwa simi na JKT naulizwa kama napenda kuendelea kulitumikia Jeshi nirudi tena.
Hali hii imeniweka njiapanda kuwa je niende JKT au niende chuo!?....nimewaomba ushauri watu kadhaa,naona wanazidi kunichanganya tu. Pamoja na.kuwa natakaiwa kuamuavmwenyewe kipi kifanyike lakini si dhambi kuwaombeni japo kwa ushari. Tu kwani mimi Naamini hapa Jf hapan kitakacho harbka kwa kunishauri tu kuwa je niende chuo au nirudi tena Jeshini? Kwani wamedai kuna kozi maalum tutakiwa kuzisoma hasa sie tulichukwa masomo ya sayansi..nisaidieni mdogo wenu kulingana na uzoefu wenu tafadhari!