JKT 2018 updates

JKT 2018 updates

Vile napimia watu walivyo subscribe huu uzi kimy kimya wakisubiri nafasi za jkt kutangazwa humu
 
JKT imekuwa nyoso, watu wamejenga ukuta na wanasugua gaga. Dhana ni kujitolea sio lazima kupata ajira.. Ova.
 
Op magu tupeni updates zinazoendelea huko vikosini.
 
Waliongezewa mwezi mmoja hadi tarehe 5 Januari 2019.
Kuongezewa tarehe kuna maana IPI hasa?

1.kuna probability ya kupewa ulaji vikos vya ulinzi?

2.wanasabur jkt ipewe nauli za kuwarudisha kwako?

3.kuna kozi bado hawajamaliza ndo wako hatua za mwsho mwsho?

4.Hawataman kuwaona wanaondoka kwakua ndio nguv kazi yao walioizoea?

5.wanamalizia kukabidhi vifaa vya jeshi, kusainishana na kupeana mkono wa kwaheri ya kuonana?

MY FACT, hakuna haja ya kuwachelewesha vijana wetu huko makambini hali ile hakuna issue ya maana, ni bora wawaruhusu tu wajiondokee mapema wawahi kazi za ulinzi huku au wawahi msimu wa nvua huko vijijin kulimA.
 
Wanasubiri vyeti vya kuhitimu JKT ndugu yangu, mambo ni magumu sana miaka hii ya jiwe.
 
duh ,sio mbaya wamejaribu bahati yao
tunawasubili kitaa
 
Back
Top Bottom