the galaxy a
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 183
- 110
Hiyo nafasi ya mafunzo ya mgambo hua zinaanza kutangazwa lini kila mwaka???Kwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
Hapana sio kweri, na mgambo lini wadau wanatangazwa hua sinaga ratiba kamili na matangazo ya mgambo aisee. Mwenye kufaham anijuze plizKwani Mgambo ni kwa Maskini? Kivipi! naomba nielimishwe
Mbona mm nnao washaji weng waliopata 26,27 na 28 wamepata wapo huko ,japo npo bech kimaisha Wao washatokaAchana na dhana potofu kua wote wanaokwenda vyombo vya usalama ni failures ,,
Kaka hayo mafunzo yameisha, na intake mpya ni lini nahitaji kuja kujifunza hayo mafunzo ya mgambo aiseee. Njsaidie mkuu taarifa kamili katika ilo pliiz. Au kwa msaada 0752849498Kuna mafunzo ya mgambo yanaendeshwa huku nilipo wote ni waliofeli shule wengine wamepambana na maisha yakawashinda na fursa hii ya ugambo haihitaji elimu yako inataka utimamu wa mwili tu. Wakimaliza wakajiriwe KK security au walinde tunaotupa uchafu hovyo (mgambo wa jiji)
Mwezi wa sitaHiyo nafasi ya mafunzo ya mgambo hua zinaanza kutangazwa lini kila mwaka???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa sawa na hayo matangazo hua kila kata yanafika ofic zip, na had uje upewe chet mnajifunza kwa muda gani??Mwezi wa sita
Mimi sijawahi kupita mgambo, ila najua washauri wa mgambo waliopo mikoani na wilayani huchagua baadhi ya makao makuu ya tarafa ili zoezi hilo lifanyike na wanatangaza kupitia watendaji wa vijiji, na mbao za matangazo za halmashauriAhaaa sawa na hayo matangazo hua kila kata yanafika ofic zip, na had uje upewe chet mnajifunza kwa muda gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa sawa so unanishauri baada ya miezi kama 2 mbele nianze kutembelea tembelea mbao za matangazo za wilayani?, maana niko dar mkuu..Mimi sijawahi kupita mgambo, ila najua washauri wa mgambo waliopo mikoani na wilayani huchagua baadhi ya makao makuu ya tarafa ili zoezi hilo lifanyike na wanatangaza kupitia watendaji wa vijiji, na mbao za matangazo za halmashauri