JKT 2018 updates

Bonyobonyo

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
226
233
wakuu kwema
huu ni uzi spesheli kwa wale wenzang na mimi tuliokumbatia magamba yetu ya division mbalimbal bnafsi gamba langu linasoma division 4 ya 26 hap tupeane ronja mbalimbal na apdates kuhus jkt kwa mwak huu japo inajulikana wazi kuwa kwa sasa nafasi hizi kuzipata ni bahati ya ngekewa
naomba kuwasilisha
 
Achana na dhana potofu kua wote wanaokwenda vyombo vya usalama ni failures ,,
 
Kwa hiyo form four yako kama umezidi miaka 21 sahau kwenda kwa utawala huu nenda mafunzo ya mgambo kwa sababu naona una dalili zote za umaskini
au sio sasa matajiri mnatafut nin kweny nyuzI za maskini si ukaanzish yako ya matajir usiwachukulie watu kam unavoon id zao apa jf siku nyngn fkiria kidog kabl ya kuandik hik kinyesi cha mbwa heshimu uzi za wengn
 
Brother hakuna mahali nimekuzarau tatizo lako una future ya kimasikini nukta.
 
wakuu kwema
huu ni uzi spesheli kwa wale wenzang na mimi tuliokumbatia magamba yetu ya division mbalimbal bnafsi gamba langu linasoma division 4 ya 26 hap tupeane ronja mbalimbal na apdates kuhus jkt kwa mwak huu japo inajulikana wazi kuwa kwa sasa nafasi hizi kuzipata ni bahati ya ngekewa
naomba kuwasilisha
Usijari mkuu watatangaza.
Il nakushauri usiwekecmayai yako yote kwenye kikapu komojaa...

Tafuta opportunities zingine mtaani.
 
Bado ,Labda wataanza Usaili mwisho wa mwezi wa 11,
Ila Jkt ya sasa vyuma vimekaza sana coz saivi watu wanaenda wanapigishwa mzigo weeee miaka miwili y'a mkataba ikiisha zaidi ya nusu ya watu mnaweza jikuta mnarudishwa home unarudi tena kuanza maisha ya kitaa so mi nawashauri muangalie na vitu Vngn vya kufanya coz kule nako ckuhizi ajira bado yakubahatisha, kuna tetesi nyngn kuwa op magu watarudishwa baada ya mkataba kuisha mwezi ujao
 
Hyo four umeona umefaulu hapo ? Si ungeendelea n shule
mkuu kuendelea na shule inawezekan komb yangu ilibalance vzur kabsa tatizo hal ya maish anyway ncjielez sanaa nyie wasomi someni
 
Bado ,Labda wataanza Usaili mwisho wa mwezi wa 11,
Ila Jkt ya sasa vyuma vimekaza sana coz saivi watu wanaenda wanapigishwa mzigo weeee miaka miwili y'a mkataba ikiisha zaidi ya nusu ya watu mnaweza jikuta mnarudishwa home unarudi tena kuanza maisha ya kitaa so mi nawashauri muangalie na vitu Vngn vya kufanya coz kule nako ckuhizi ajira bado yakubahatisha, kuna tetesi nyngn kuwa op magu watarudishwa baada ya mkataba kuisha mwezi ujao
mkuu mkataba unaweza umeongezwa kwa op magu miez sita mingine nmepata ronja kutok kwa jamaa yangu yupo chomboni
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom