JKT 2018 updates

Kwani Mgambo ni kwa Maskini? Kivipi! naomba nielimishwe
mkuu kun watu ni vichwa humu so kwa iyo four yangu kashauri nijiunge na mgambo kwakuwa ufaul wangu haufai jkt zaid ya mgambo nimeupokea ndaufanyia kazi
 
Kwani Mgambo ni kwa Maskini? Kivipi! naomba nielimishwe
Kuna mafunzo ya mgambo yanaendeshwa huku nilipo wote ni waliofeli shule wengine wamepambana na maisha yakawashinda na fursa hii ya ugambo haihitaji elimu yako inataka utimamu wa mwili tu. Wakimaliza wakajiriwe KK security au walinde tunaotupa uchafu hovyo (mgambo wa jiji)
 
watu wanadharau dah
 
Unatumia vigezo vipi kupima "future" ya kimasikini na ya kitajiri? . (by the way unamaanisha nini unaposema neno "future" kwa muktadha huu?
Kigezo pekee nachokitumia ni muda anaopeteza na atakaopoteza.
.
Sina haja ya kulitafsiri neno "future" ila hajui kuwa maisha yamebadilika kwa kasi sana hayako vile yalivyokua kabla
 
mkuu mkataba unaweza umeongezwa kwa op magu miez sita mingine nmepata ronja kutok kwa jamaa yangu yupo chomboni
Hiyo Hbr ya kuongezwa miezi mingine 6 mkuu haina uhakika bado ni Lonja tuu, ila hbr iliyopo watu wanajaza detail zao kuhusu maeneo walikotokea ili serikali iwaandalie nauli zao tayari kwa Kurudi home mkuu, ila wacha tuombe wana wasalimike coz watu wamejila sn na kupoteza time wakitarajia ajira lakini matokeo yake inaelekea kuwa utata tupu
 
Kuna mafunzo ya mgambo yanaendeshwa huku nilipo wote ni waliofeli shule wengine wamepambana na maisha yakawashinda na fursa hii ya ugambo haihitaji elimu yako inataka utimamu wa mwili tu. Wakimaliza wakajiriwe KK security au walinde tunaotupa uchafu hovyo (mgambo wa jiji)
Kwahiyo KK security na nyinginezo ni kwa waliofeli? Na huko kufeli ni kwa ngazi ipi? Elimu? Ajira?Naomba msaada wa vigezo vya hao security!
 
Hiyo Hbr ya kuongezwa miezi mingine 6 mkuu haina uhakika bado ni Lonja tuu, ila hbr iliyopo watu wanajaza detail zao kuhusu maeneo walikotokea ili serikali iwaandalie nauli zao tayari kwa Kurudi home mkuu, ila wacha tuombe wana wasalimike coz watu wamejila sn na kupoteza time wakitarajia ajira lakini matokeo yake inaelekea kuwa utata tupu
Ulishaambiwa jkt ni kujitolea.ajira ikitokea ni bahati sasa watu mnataka kufanya lazima.ukibahatika ajira its okee.
 
Kuna mafunzo ya mgambo yanaendeshwa huku nilipo wote ni waliofeli shule wengine wamepambana na maisha yakawashinda na fursa hii ya ugambo haihitaji elimu yako inataka utimamu wa mwili tu. Wakimaliza wakajiriwe KK security au walinde tunaotupa uchafu hovyo (mgambo wa jiji)

Acha maneno ya shombo mkuu
 
Ulishaambiwa jkt ni kujitolea.ajira ikitokea ni bahati sasa watu mnataka kufanya lazima.ukibahatika ajira its okee.
Sahihi mkuu ht wkt unajaza mkataba wao wanakwambia kuwa unajitolea, Jkt haiajiri sema sasa ndo kuna wkt ss Huwa tunajenga matumaini ya ajira na kuona kuwa km tumeahidiwa ajira
 
Back
Top Bottom