Huku kwetu mtu anyezurura ovyo tunasema kalambwa miguu na mbwa.Huyu rais wetu inaelekea alivyokuwa mdogo alikuwa anakula sana miguu ya kuku sijawahi ona mtu anaruka na ndege km huyu tulidhani tumepata kumbe tumepatikana.
Damu ya pale haina kwalite.Mbona pale TMJ hospital sikuhz wanabadili damu?
Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza.
Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
.Lengo ni kupata posho za safari na tours binafsi zisizo na tija na manufaa kwa Raia! Kwa nini asiende Waziri wa Fedha au Gavana wa BOT, au Waziri wa Mambo ya Nje, au Mkuu wa TRA ambao kwa namna zote mambo ya Uchumi yanawahusu! Huyu JK ni tatizo kwa nchi! Makyembe kaenda kufanya nini ili hali Uchukuzi/transportation kat ya Mwanza Dar kuna tatizo!!! Nyerere hakukosea kukataa viongozi wa aina ya Mkuu huyu wa kaya!
.
Ndio maana uchumi wa nchi unakua kwa kasi.Baba yuko busy kuwatafutia maisha bora wanaye. Big up JK.
Nakumbuka maneno yako pale Kigoma. "Ningependa Watanzania wanikumbuke kwa kuwasogeza kutoka hatua moja ya maendeleo kwenda nyingine"....
Je, Kenyatta, Kaguta, na Kagame nao wamekwenda?
Maghembe yupo kwenye list ya mawaziri mizigo kama sikosei. mwache na yeye akajipongeze baada ya kupewa chance nyingine.