JK yuleee anaelekea Uganda

JK yuleee anaelekea Uganda

hivi ile ndege yetu ya raisi siita staafiswa karibuni kama kila siku ipokazini kwa mailage….
 
Mwacheni mkaka wa watu atembee, yuko practical training kujifunza elimu ya anga ndo maana yahya shoga ake.
 


HAPA MSANII AKIKARIBISHWA UGANDA

Jamaa anapenda minuso baraa!!! Halafu inakuwaje Rais anvaa suit ya kuungaunga (ya kachumbari)??

Hivi Mseveni alihudhuria sherehe ya kumapisha JK?? If No.... then read between the line!!!!!
 
Akirudi anaendelea na SEMINA ELEKEZI pale idodomya.
 
1.jpg


DINNER JACKET.....DUH
 
huyo ndo rais wa tz. Kuwahi nchi za wenzie shwari, kutatua matatizo ya nchi ZERO....hivi washauri wake ni kina nani jaman? Mi nakereka sana... Mahospitalini hakuna dawa anawazuga wazee watibiwe bure ye anazurura....
 
Jamaa anapenda minuso baraa!!! Halafu inakuwaje Rais anvaa suit ya kuungaunga (ya kachumbari)??

Hivi Mseveni alihudhuria sherehe ya kumapisha JK?? If No.... then read between the line!!!!!

... nilifurahishwa sana na kauli za Jenerali Ulimwengu (BBC World Service jana jioni) kuhusu yanayoendelea Uganda, kwamba:

... Ni UHUNI mtupu wanaofanyiwa Waganda na pia wapenda maendeleo

... Ingekuwa ni ishara ya kukomaa KIDEMOKRASIA kama viongozi wa Kiafrika na haswa Afrika Mashariki kwa sauti kubwa kabisa WANGELAANI UHUNI wanaofanyiwa vyama vya upinzani Uganda

... Marais walioalikwa kwenye sherehe wangesusia kwenda ili M7 apate message ya kutoridhia yanayoendelea Uganda

... Kitendo cha kina JK na wenzake kukaa kimya ni ishara kwamba yanayotokea kwako nayanyamazia na kwa hiyo nikifanya hayohayo kwangu nawe ukae kimya!!

Huyu M7 na akinaTeodoro Obiang Nguema hapa Afrika ni vibaka tu.
 
Jk yeye ndo anangarishaga picha lazima aende
23_eac_presidents.jpg
 
Ungetaka aende nani?

Kwa GoT, J.K is the Head of State and Government...period!

Je, hii ni kuonyesha chuki binafsi kwa J.K au?
 
Tuko nao hapa Uganda watching colorless ceremony.....watu wanaowagandamiza watu wao waliowaweka madarakani....
 
Atalishwa yule "mdudu"....yani ameshafika Uganda mara hii? Huku nchi inaelekea kuwa gizani?? Naona Marekani siku hizi hakwendeki na nchi za Uarabuni nako kwa moto
 
Vipi wapambe walishamwambia kuwa kuanzia tarehe 18/05/2011 nchi nzima itakuwa gizani totoro?. sijui anatoa wapi huo moyo wa kusafiri!!
 
Haki ya nani mi huyu mnayemwita jk simpendi....ku##nina zake.
Siyo kila thread upost comment zako, zingine soma tu. Au ndo kumalizia hasira zako. Angalia usije vunja keyboard yako. Hata hivyo wewe ni Senior, lugha yako iwe ya kisenior mkuu.
 
Siyo kila thread upost comment zako, zingine soma tu. Au ndo kumalizia hasira zako. Angalia usije vunja keyboard yako. Hata hivyo wewe ni Senior, lugha yako iwe ya kisenior mkuu.

Chondechonde hapo mkuu. Yasijetokea kama yule jamaa wa Texas aliyeitwanga TV risasi baada ya mtu aliyekuwa anamsupport kushindwa kwenye contest moja ambayo jina limenitoka.
Labda JK atakusikia na atapunguza trips
 
museveni anafanya hivyo kwani anaamini hamna mtu wa kumuachia uraisi. Then nashangaa akina kibaki na kikwete wanakaa kimya. Wanajua kwamba nao walifanya. The Hague wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom