Jk watanzania wanaomboleza yeye anafanya sherehe ikulu imenikera sana.

Kipre tchetche

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
238
40
Taifa linaomboleza yeye kapata wapi
ujasiri wa kufanya sherehe ikulu?
Ameshindwa hata kuja eneo la tukio
hivi hata hao mabalozi nao kwanini
wanakubali kuburutwa na mtu katili
namna hii .wewe ualikwe na mtu aliefiwa
na amekwambia anasherehe ya mwaka mpya
na unajua amefiwa na watu zaidi ya mmoja
kwanini usijielekeze kwenye msiba?
 
Let him do whatever he want to do but one day he will have the opposite.
 
Taifa linaomboleza yeye kapata wapi
ujasiri wa kufanya sherehe ikulu?
Ameshindwa hata kuja eneo la tukio
hivi hata hao mabalozi nao kwanini
wanakubali kuburutwa na mtu katili
namna hii .wewe ualikwe na mtu aliefiwa
na amekwambia anasherehe ya mwaka mpya
na unajua amefiwa na watu zaidi ya mmoja
kwanini usijielekeze kwenye msiba?

Mimi namawazo tofauti kidogo. Jk hajafiwa ameua in-directly kwahiyo ni sawa tu akiendelea na shughuli zake. Remember he is the master mind kwahiyo angeomboleza ningemuona mnafiki zaidi. Afterall anaua kila siku watu mahospitalini wanaoshindwa kupata matibabu, wanaokufa kwa njaa, etc kwaajili ya yeye na Rostam kujilimbikizia mali. He is just a cold blooded killer!
 
Taifa linaomboleza yeye kapata wapi
ujasiri wa kufanya sherehe ikulu?
Ameshindwa hata kuja eneo la tukio
hivi hata hao mabalozi nao kwanini
wanakubali kuburutwa na mtu katili
namna hii .wewe ualikwe na mtu aliefiwa
na amekwambia anasherehe ya mwaka mpya
na unajua amefiwa na watu zaidi ya mmoja
kwanini usijielekeze kwenye msiba?

JK amefiwa na nani sasa wakati watu wao wenyewe wamejitakia baada ya kukataa amri halali ya polisi. Na hata polisi kwenye statement yao wameisha sema CHADEMA hawawezi kujivua lawama kwa hili hata chembe
 
Genius brain akili zenu wewe na makamba na
huyo mwema ni zero kibali halali cha maandamano
ya kisiasa kinatolewa na msajili wa vyama na
hao police wanapaswa kutoa ulinzi tu .ngoja
nikwambie polisi wamewaamsha watanzania hakuna
police jamii Tena
 
Nonsense......your comments are not JF worthy.....hapa ni pa watu ambao wanaweza ku analyse sio kuongea pumba tu...unajua kuwa polisi hawana powers za kuzuia maandamano but unless waende mahakamani...but here they take arbitrary powers and they kill innocent people.....anyways i believe that there will be a day when they will be sent to the HAGUE....human rights violation cannot be tolerated....
 
..GeniusBrain, i wish to see the color of your brain,,,how hard to crack is your skull? i will hunt to down once the head hunting starts!!! i will eat raw your kidneys!!!
 
Genius brain akili zenu wewe na makamba na
huyo mwema ni zero kibali halali cha maandamano
ya kisiasa kinatolewa na msajili wa vyama na
hao police wanapaswa kutoa ulinzi tu .ngoja
nikwambie polisi wamewaamsha watanzania hakuna
police jamii Tena

Tumia akili. Acha ushabiki.
Ikikosekana Polisi Jamii, anayeathirika ni nani?
Jibu ni mwananchi, si polisi.

Kama hilo hulioni, utakuwa mmojawapo wa majuha wa chama fulani.

Wake up you!
 
Nonsense......your comments are not JF worthy.....hapa ni pa watu ambao wanaweza ku analyse sio kuongea pumba tu...unajua kuwa polisi hawana powers za kuzuia maandamano but unless waende mahakamani...but here they take arbitrary powers and they kill innocent people.....anyways i believe that there will be a day when they will be sent to the HAGUE....human rights violation cannot be tolerated....

Mnafurahia sana kutajataja The Hague.

You are ignorant on how they operate.

They never entertain upuuzi wenu, they have serious issues to deal with.

Endelea kulalama, manake wewe ni wa kundi lile la wanung'unikaji wanaojiita cdm.
 
Usi-generalize mambo, Sio watanzania wote wanaomboleza. CDM iliyapanga mauaji yale ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa na sympathy ya kanisa. Na vyoye hivyo imepata! Mi nadhani tusheherekee tu!
 
mkwere never cared all he wanted was to be a president and live to enjoy it, it never entered his mind that "ikulu ni mzigo" but yeye ndo amekuwa mzigo na sisi wananchi ndo tunaobeba huo mzigo
 
JK amefiwa na nani sasa wakati watu wao wenyewe wamejitakia baada ya kukataa amri halali ya polisi. Na hata polisi kwenye statement yao wameisha sema CHADEMA hawawezi kujivua lawama kwa hili hata chembe

Tunashukuru kwa post yako... Labda kwakuwa mmojawapo kati ya wale walio kufa, si kaka yako.
 
JK amefiwa na nani sasa wakati watu wao wenyewe wamejitakia baada ya kukataa amri halali ya polisi. Na hata polisi kwenye statement yao wameisha sema CHADEMA hawawezi kujivua lawama kwa hili hata chembe

unachakachuliwa?
shit!!!!!!!!!!!!!!
 
JK amefiwa na nani sasa wakati watu wao wenyewe wamejitakia baada ya kukataa amri halali ya polisi. Na hata polisi kwenye statement yao wameisha sema CHADEMA hawawezi kujivua lawama kwa hili hata chembe

Ukikataa amri halali ya polisi adhabu yake ni kifo sio. BTW amri gani hiyo halali ilitolewa na polisi.
 
Kishongo wewe hauna akili hata yakumfikia
Yule mtoto wa chekechea ingekuwepo hio
police jamii kwanini hawakutoa ulinzi
wa maandamano badala ya kuzuia na hio
inteligensia Yao waliosikia ni cdm ndio
Wenye jukumu la kukamata wahalifu?
Au police wao wanalipwa salary inayotokana kodi
na watz wanaowaua
 
Nimtazamo wako na mUngu akusaidie uone yalkiyofichika, lakini pia inaonyesha una ugonjwa wa kupenda ndugu!
 
JK amefiwa na nani sasa wakati watu wao wenyewe wamejitakia baada ya kukataa amri halali ya polisi. Na hata polisi kwenye statement yao wameisha sema CHADEMA hawawezi kujivua lawama kwa hili hata chembe

Nimtazamo wako na Mungu akusaidie uone yaliyofichika, lakini pia inaonyesha una ugonjwa wa kupenda ndugu! Wewe hata mavi utakula ilimradi tu umependa harufu yake.
Tafakari mambo kwa kina kabla ya kuropoka ndugu. Tunahitaji Tanznaia yenye amani.
 
Mnafurahia sana kutajataja The Hague.

You are ignorant on how they operate.

They never entertain upuuzi wenu, they have serious issues to deal with.

Endelea kulalama, manake wewe ni wa kundi lile la wanung'unikaji wanaojiita cdm.

Wewe unajua? Au unaongea tuuu....

Nikupe mfano.

1. William Ruto
2. Uhuru Kenyatta
3. Henry Kosgey.. niendelee!!!

Wote hawa wakati wanachochea mauaji ya wananchi unadhani walijua kuwa watapelekwa huko!!

U don't know what you are talking about!
 
JK amefiwa na nani sasa wakati watu wao wenyewe wamejitakia baada ya kukataa amri halali ya polisi. Na hata polisi kwenye statement yao wameisha sema CHADEMA hawawezi kujivua lawama kwa hili hata chembe

Avatar yako ibaidilishe iwe EmptyBrain.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom