JK: Viongozi wa siasa acheni kauli za uchochezi mgogoro kati ya Tz na Malawi

mtoa mada haupo well informed kwa hii issue ya malawi na tanzania. nakushauri kuna sticky thread uitafute jaribu kuifuatilia kuna kitu unapata then edit alichosema jk. check na thread ya sitta,lowassa na membe, then today jk on utube. chnganya na zako apo utapata jinsi ya kuileta hii thread ya malawi n tz katika hali ya u great thinker.

Mkuu, read between lines. Nimejitahidi kukupunguzia mzigo wa kumsikiliza JK kwa mistari kadhaa. Sitaki kuamini kuwa hunielewi.
 
Kabla ya ukoloni tulikua tunapata haya maeneo kwa vita na hata walivyokuja wakoloni walipigana ndo wakawa wanayamiliki kabla ya kuamua kugawana kiungwana sasa wakoloni walishaondoka na mipaka walogawana sisi haituhusu maana hatukushirikishwa kugawana na kuendelea kuiheshimu ni kukubali kwamba mpaka leo tupo chini ya ukoloni wao so nashauri turudi kwenye njia zetu za kiafrika mwenye nguvu anachukua nchi ikiwezekana sio ziwa tu hata ardhi iliobaki hivyo JK acha kutuchanganya watanzani tunataka kupigana na Malawi kama tukishhindwa tuwe wote wamalawi!!Tukiwachapa wamalawi wote wawe watanzania msitulee mambo yenu mara diplomasia sijui nini diplomasia yenyewe hamuijui mnachojua ninyi ni ufisadi umalaya na ujambazi wa kutembea na SMG mawilimawili sasa mbona mnaogopa vita?Wewe Jk kama huamini jeshi lako sisi watanzania tena raia tutawapiga wamalawi au tutapigwa na wamalawi lakini huna mandate yakutufundisha kuhusu nchi yetu,maana miongoni mwa mawaziri wako akina mkulo ni wamalawi sasa cha ajabu nini?Au hujasikia mpinzani wa malawi anaitwa Undule Mwakasungura?Kinyakyusa Maana yake Unisaidie Sasa unaogopaogopa nini kaa kimya ******!!!!Acha wanyambara tufanye kazi wewe kacheze ngoma msoga

www.uharo.com
 
Wakuu,
JK kawataka wanasiasa kuacha kutoa kauli za kichochezi kwa kuwa tunaweza tusiwe na ubavu wa kuwapiga Malawi. Mpaka upo ukingoni mwa ziwa upande wa Tanzania. Majadiliano yanaendelea kutafuta wa kutusuluhisha kwa kuwa Malawi wamekataa MAOMBI ya Tz kuweka mpaka katikati ya ziwa kama sheria ya kimataifa inavyotaka.

My take: JK ameonyesha ushupavu na ukomavu kisiasa kwa kutotoa kauli za kuiprovoke Malawi lakini lengo kufanikisha mpaka uwe katikati ya ziwa kwa gharama YOYOTE tukianza na mazungumzo
Source: TBC

Sijakupata vyema, coz kama mpaka upo sasa sisi twahtaji nini tena?
 
Alichokieleza JK ni kuwa hayo ndo makubaliano ya Heligoland Treaty na jitihada zote za kujaribu kurekebisha mpaka huo kwa makubaliano na wenye nalo hazijazaa matunda bado.
Kilichopo ni kuwa yalifanyika mabadiliko kwny maziwa kadhaa kuweza 'kushare' water bodies zilizopo mpakani mwa nchi nyingi ili nchi hizo zinufaike, kwa mfano Tanganyika (lilikuwa lote liko Tanganyika likagawanywa na DRC), Ziwa Victoria etc. Lakini mabadiliko hayo hayakufanyika kwa z. nyasa. Kwa hiyo baada ya nchi hizi (Malawi na Tanganyika) kupata uhuru, majadiliano yameendelea ili watanzania walioko karibu na ziwa hilo waweze kunufaika nalo kwa kuwa mkataba huo umeikandamiza Tz.
Majadiliano yanayoendelea ni kwa mujibu wa sheria ya kimataifa ambayo yahitaji water body yoyote iliyopo kati ya nchi mbili mpaka wake uwe katikati ya water body hiyo.
 
Kabla ya ukoloni tulikua tunapata haya maeneo kwa vita na hata walivyokuja wakoloni walipigana ndo wakawa wanayamiliki kabla ya kuamua kugawana kiungwana sasa wakoloni walishaondoka na mipaka walogawana sisi haituhusu maana hatukushirikishwa kugawana na kuendelea kuiheshimu ni kukubali kwamba mpaka leo tupo chini ya ukoloni wao so nashauri turudi kwenye njia zetu za kiafrika mwenye nguvu anachukua nchi ikiwezekana sio ziwa tu hata ardhi iliobaki hivyo JK acha kutuchanganya watanzani tunataka kupigana na Malawi kama tukishhindwa tuwe wote wamalawi!!Tukiwachapa wamalawi wote wawe watanzania msitulee mambo yenu mara diplomasia sijui nini diplomasia yenyewe hamuijui mnachojua ninyi ni ufisadi umalaya na ujambazi wa kutembea na SMG mawilimawili sasa mbona mnaogopa vita?Wewe Jk kama huamini jeshi lako sisi watanzania tena raia tutawapiga wamalawi au tutapigwa na wamalawi lakini huna mandate yakutufundisha kuhusu nchi yetu,maana miongoni mwa mawaziri wako akina mkulo ni wamalawi sasa cha ajabu nini?Au hujasikia mpinzani wa malawi anaitwa Undule Mwakasungura?Kinyakyusa Maana yake Unisaidie Sasa unaogopaogopa nini kaa kimya ******!!!!Acha wanyambara tufanye kazi wewe kacheze ngoma msoga

Gwakisa, I salute you! wewe ni Mtanzania wa kweli tena mwenye uchungu na nchi yako. Bila shaka ikibidi tutafika huko ila kwa sasa ngoja watengeneze historia kwanza. Tukipata kiongozi mwenye uwezo wa kuthubutu, bila shaka maamuzi magumu ni lazima yafanywe na hatua zichukuliwe sio usanii kama tunaoushuhudia
 
Sijakupata vyema, coz kama mpaka upo sasa sisi twahtaji nini tena?

Hajasema mpaka upo ufukweni upande wa Tanzania, ila amebainisha kuwa hayo ndio madai ya Wamalawi.
Nimemsikiliza toka mwanzo hadi mwisho kwenye TBC. Kaongelea sensa kwa ufupi, na ndio akaanza hii issue kwa kirefu.
Mimi binafsi si mshabiki wake, lakini nimefurahi alivyoongea. Haja-yield kuwaachia wamalawi. Katoa msimamo mkali tu ila kwa lugha ya busara na laini.
Amegusia tume za kurekebisha mipaka zilivyofanya kazi enzi hizo baada ya heligoland treaty, na kwamba walianzia kurekebisha mpaka wa mto songwe kuwa katikati (mwanzoni mto wote ulikuwa wa Tanganyika), mpaka na Msumbiji kuwa katikati ndani ya ziwa nyasa, mpaka wa ndani ya ziwa Tanganyika (mwanzoni ziwa lote lilikuwa la Tanganyika), kaongelea ziwa jipe na mengineyo. Akaongeza kuwa kabla hiyo tume haijamaliza kazi kuhusu mpaka wa Malawi (British) na Tanganyika (Germans), ikatokea vita kuu ya kwanza, na mengine ndio kama historia ilivyo. Germans walishindwa, Tanganyika ikaachwa chini ya uangalizi wa waingereza. Waingereza walifanya uzembe wa makusudi kutorekebisha mpaka kati ya Nyasaland yao wakati huo na Tanganyika waliyokuwa wanailea.
Kasema wazi kabisa kuwa haingii akilini kuwaambia watanzania walioko upande wa ziwa nyasa kuwa eti wamekuwa wakivua, wakioga maji ya Nyasa na kusafiri bila kupata kibali cha wamalawi.
 
Lakini Kikwete anaongeza kwamba kama Mozambique wamepewa mpaka kuwa katikati basi principle hiyohiyo iweje isitumike na kwetu pia.

Azipa 13:08 27th August 2012
Sidhani kama ICJ itawanyima wananchi wa TANZANIA(kyela) Haki ya kufaidika na naturally resource zao maana hata iwaje sijui mikataba ya wakoloni haiondoi fact kwamba lake nyasa should be shared and not otherwise

Nikupateje hataki kuzitambua RIPARIAN RIGHTS. Na
huo ndo msimamo wa nchi yetu. Inatakiwa vigezo
vilivyotumika kugawa ziwa Tanganyika, Victoria na
Nyasa kwa upande wa Msumbiji vitumike na hapa
Sajo, tatizo letu ikulu inaendeshwa na Wamarekani
na Waingereza. They set the agenda and our
president only oversees its implementation
Hakuna ziwa, mto(water body) ambao upo mpakani
unamilikiwa na nchi moja tu(if any, citation needed)
Wakisema mpaka upo pwani ya mashariki ya ziwa
maana yake watachukua kipande cha ardhi yetu
Wakisema ni ukingo wa maji. Je kupwa na kujaa
kwa maji hakutakuwa kunaunaubadili huo mpaka
Wanajifunza nini ustaarabu wetu wa kutowazuia
Wakenya kunufaika na mlima Kilimanjaro kwa utalii
 
Hajasema mpaka upo ufukweni upande wa Tanzania, ila amebainisha kuwa hayo ndio madai ya Wamalawi.
Nimemsikiliza toka mwanzo hadi mwisho kwenye TBC. Kaongelea sensa kwa ufupi, na ndio akaanza hii issue kwa kirefu.
Mimi binafsi si mshabiki wake, lakini nimefurahi alivyoongea. Haja-yield kuwaachia wamalawi. Katoa msimamo mkali tu ila kwa lugha ya busara na laini.
Amegusia tume za kurekebisha mipaka zilivyofanya kazi enzi hizo baada ya heligoland treaty, na kwamba walianzia kurekebisha mpaka wa mto songwe kuwa katikati (mwanzoni mto wote ulikuwa wa Tanganyika), mpaka na Msumbiji kuwa katikati ndani ya ziwa nyasa, mpaka wa ndani ya ziwa Tanganyika (mwanzoni ziwa lote lilikuwa la Tanganyika), kaongelea ziwa jipe na mengineyo. Akaongeza kuwa kabla hiyo tume haijamaliza kazi kuhusu mpaka wa Malawi (British) na Tanganyika (Germans), ikatokea vita kuu ya kwanza, na mengine ndio kama historia ilivyo. Germans walishindwa, Tanganyika ikaachwa chini ya uangalizi wa waingereza. Waingereza walifanya uzembe wa makusudi kutorekebisha mpaka kati ya Nyasaland yao wakati huo na Tanganyika waliyokuwa wanailea.
Kasema wazi kabisa kuwa haingii akilini kuwaambia watanzania walioko upande wa ziwa nyasa kuwa eti wamekuwa wakivua, wakioga maji ya Nyasa na kusafiri bila kupata kibali cha wamalawi.

Mtapotosha hili jambo lakini mwisho wake unakaribia. Kwanza kusema waingereza walizembea kulifanyia kazi hili ni kutuijua history. Wingereza hata wangekuwa na nia ya kujadili kuhusu mipaka hawakuwa na mandate hiyo kwa sababu mandate yao ilikuwa ni civilisation of people na si kubadili mpaka wowote. Hivyo suala la mipaka kama lilihitajika ilibidi lisimame tangu 1919 hadi 1961.

Halafu kutojua history ndiko kunakowafanya mdhani kwamba watanzania walishawahi kukatazwa kutumia ziwa lile. Kamuzu banda aliliweka wazi hili mwaka 1967 kwamba hawajawahi na hawatakuja kuwakataza watanzania kvua samaki mle. Kama una ushahidi wa mtanzania kukamatwa na serikali ya Malawi kwa kuvua au kuogelea au kupita na meli basi tuonyeshe. Hakuna. Hivyo hizi mnazoongea ni porojo tu lakini si ukweli wa mambo yalivyo.

Cha msingi Kikwete nimemsifia aliposema yakishindikana mazungumzo tutalipeleka kwenye vyombo vya kimataifa. Binafsi ningependa hata leo lipelekwe kwenye Mahakama ya kimataifa maana tumebishana ovyo hili na huko tutajua ni nani alikuwa amesoma na kutafiti vilivyo na nani alikuwa anapiga porojo kama kasuku. Itajulikana tu.
 
Azipa 13:08 27th August 2012
By sajosojo:
Sidhani kama ICJ itawanyima wananchi wa
TANZANIA(kyela) Haki ya kufaidika na naturally
resource zao maana hata iwaje sijui mikataba ya
wakoloni haiondoi fact kwamba lake nyasa should
be shared and not otherwise
Nikupateje hataki kuzitambua RIPARIAN RIGHTS. Na
huo ndo msimamo wa nchi yetu. Inatakiwa vigezo
vilivyotumika kugawa ziwa Tanganyika, Victoria na
Nyasa kwa upande wa Msumbiji vitumike na hapa
Sajo, tatizo letu ikulu inaendeshwa na Wamarekani
na Waingereza. They set the agenda and our
president only oversees its implementation
Hakuna ziwa, mto(water body) ambao upo mpakani
unamilikiwa na nchi moja tu(if any, citation needed)
Wakisema mpaka upo pwani ya mashariki ya ziwa
maana yake watachukua kipande cha ardhi yetu
Wakisema ni ukingo wa maji. Je kupwa na kujaa
kwa maji hakutakuwa kunaunaubadili huo mpaka
Wanajifunza nini ustaarabu wetu wa kutowazuia
Wakenya kunufaika na mlima Kilimanjaro kwa utalii

NImesema mara kadhaa kwamba Riparian rights base yake ni common laws. Lakini zaidi ni kwamba ni precedence kama hakukuwahi kuwa na agreement popote.

Labda nikuulize, kule Oljoro kuna shimo kubwa linaitwa Nymba ya Mungu. Inasemekana kwamba lilitokea baada ya meteor kudondoka kutoka angani. Lakini vilevile tunaijua Ngorongoro Crater. Huko Nevada kulitokea nuclear explosion ikatengeneza crater kubwa.

Hizi crater na hata lift valleys (bonde la ufa) zinaweza kutokea popote na ukubwa wowote na zikajaa maji zikawa ziwa. Hivi pale Namanga mpakani mwetu na Kenya ikitokea crater kwa force na source yoyote, halafu crater hiyo ikatangeneza ziwa kubwa upande wetu kiasi kwamba shimo la crater likawa na upana wa 90% upande wetu na maji yakajaa maana yake 90% ya maji yatakuwa kwetu.

Kwa hiyo riparian laws unayosema maana yake hatutakiwi tuwe na hiyo 90% ya maji. Maana yake mpaka wetu sasa utakuwa umesogea ndani zaidi ili Kenya ifaidike na nusu kipande kama sheria zako hizo zinavyosema!

Kwa maana hiyo ramani zitachorwa upya na sisi itabidi tukubali Kenya ichukue kipande chetu na ramani zionekane mpaka umeingia na sisi tumepunguziwa hukuKenya ikiongezewa kipande cha eneo ambacho ni maji!

Hivi ndivyo mnavyotaka kama riparian laws mkidhani ndiyo utatuzi!

Kama hamkuwahi kulifikiri hili, basi wazungu walishalifikiri karne nyingi zilizopita. Wanajua umbo la dunia linabadilika tena sasa hivi kutokana na climate changes.

Niliposoma history nilifahamu kwamba English Channel haikuwepo na England ilikuwa pamoja na Europe enzi za glacier period. Leo ukitegemea umbo la dunia na mabadiliko yake basi kila siku utakuwa unapigizana kelele kama hakuna fixed agreement.

ndiyo maana agreement zimekuwa set kwamba kama hakuna agreement basi hizo mnazoita Riparian laws au UN Convention of 1982 zitumike.

natumaini imeeleweka japo nimeisema sana hii.
 
You're taking this whole thing out of context.

Where in the Heligoland treaty does it say that lake is Malawi? I know it says it's not in Tanganyika
 
It is simply because your brain is slower enough to accept the concept that Riparian idea is baseless ground for this case.

Hapo kwenye RED wewe ndiyo mbumbumbu kweli afadhali ungeishia kuandika hapo kwenye BLUE tu.

Moja ya terms za Heligoland Treaty of 1890 ilikuwa ni kuitambua hili eneo kama koloni la Germany, lililokuja kuitwa Germany East Africa, baadaye Tanganyika na sasa Tanzania. Kulitambulisha ni pamoja na kuitaja mipaka yake kama unavyotaja mkoa mpya au wilaya mpya hata sasa.

Mipaka unayoona imeelezwa kwenye hii Heligoland treaty inaihusu Tanganyika tu wala treaty haikujikita kutaja mipaka ya majirani zake kama Kenya, Uganda, Mozambique, Zambia au Malawi.

Hivyo, ni mambumbumbu tu kama wewe wanaoweza kuuliza swali kama lako kwamba, eti ni wapi kwenye Heligoland Treaty pametajwa kwamba ziwa lile ni la Malawi.
 
Wanabodi, we have to learn to give credit where is due. On this issue, Kikwete is right on the money.
Mkuu somehow nakubaliana na wewe.Lakini JK once again ananishangaza,eti anasema "wanasiasa",well hao ni zaidi tu ya wanasiasa,hao ni mawaziri wake na viongozi wa chama chake na bunge la chama chake.
Kwahiyo aliposema ni maneno ya wanasiasa,hajapishana sana na kauli yake kuhusu kuwa ni "maneno ya wapinzani",alisema hayo kule Msumbiji.

Alichotakiwa ni kuwaambia hao viongozi wenzake ama wasaidizi wake kina Membe eta al maneno hayo na si blah blah!
 
It is simply because your brain is slower enough to accept the concept that Riparian idea is baseless ground for this case.
Baseless in what way? What was the criteria for dividing the lake between Mozambique and Malawi or Tanganyika, Victoria, etc

Mipaka unayoona imeelezwa kwenye hii Heligoland treaty inaihusu Tanganyika tu wala treaty haikujikita kutaja mipaka ya majirani zake kama Kenya, Uganda, Mozambique, Zambia au Malawi.
No I think you are a retard for thinking we could be easily duped by your stupid idea of getting us to accept The Heligoland Treaty which only applies to Tanganyika and not to Malawi

Hey you might wanna consider being nice to people next time. You know what they say? YOU CAN CATCH MORE FLIES WITH HONEY THAN WITH VINEGAR!
 
It is simply because your brain is slower enough to accept the concept that Riparian idea is baseless ground for this case.

Hapo kwenye RED wewe ndiyo mbumbumbu kweli afadhali ungeishia kuandika hapo kwenye BLUE tu.

Moja ya terms za Heligoland Treaty of 1890 ilikuwa ni kuitambua hili eneo kama koloni la Germany, lililokuja kuitwa Germany East Africa, baadaye Tanganyika na sasa Tanzania. Kulitambulisha ni pamoja na kuitaja mipaka yake kama unavyotaja mkoa mpya au wilaya mpya hata sasa.

Mipaka unayoona imeelezwa kwenye hii Heligoland treaty inaihusu Tanganyika tu wala treaty haikujikita kutaja mipaka ya majirani zake kama Kenya, Uganda, Mozambique, Zambia au Malawi.

Hivyo, ni mambumbumbu tu kama wewe wanaoweza kuuliza swali kama lako kwamba, eti ni wapi kwenye Heligoland Treaty pametajwa kwamba ziwa lile ni la Malawi.

Please naomba msaada zaidi kwamba: hii treaty (Heligoland) ilikuwa inaongelea habari za mpaka wa Tanganyika (Germany East Africa)na Malawi tu? if yes (basi swali langu litakomea hapo), thanks
 
Maeneo yaliyo na madini tumeuza kwani ziwa hatuwezi kuwauzia lote wamalawi, maana naona kama linataka kuuzwa vile.
 
Kwa kuanzia....ni wazi kuwa kama kuna mtu aliandika huo mkataba na kusema ziwa lote liko upande wa malawi atakuwa ni JUHA/MPUMBAVU.....period!,

Pili, kwa Wareno Ku-negotiate land waliyokuwa wakiimiliki ili wapate sehemu ya ziwa....huo nao ulikuwa ni UJUHA/UPUMBAVU wao kwa kukubali mawazo ya KIJUHA/KIPUMBAVU ya mwandishi/waandishi wa huo mkataba......

...Ninasema huu ni UJUHA.......na sishangai sana kuona majuha wanashabikia JUHA mwenzao aliyeandika huo mkataba......

......na kwa taarifa yenu do not underestimate our nation's position.........kwenye hili suala......otherwise tutaishi miaka mingine hata 100 bila kuelewana.....na hakuna atakayefaidika..........
 
NImesema mara kadhaa kwamba Riparian rights base yake ni common laws. Lakini zaidi ni kwamba ni precedence kama hakukuwahi kuwa na agreement popote.

Labda nikuulize, kule Oljoro kuna shimo kubwa linaitwa Nymba ya Mungu. Inasemekana kwamba lilitokea baada ya meteor kudondoka kutoka angani. Lakini vilevile tunaijua Ngorongoro Crater. Huko Nevada kulitokea nuclear explosion ikatengeneza crater kubwa.

Hizi crater na hata lift valleys (bonde la ufa) zinaweza kutokea popote na ukubwa wowote na zikajaa maji zikawa ziwa. Hivi pale Namanga mpakani mwetu na Kenya ikitokea crater kwa force na source yoyote, halafu crater hiyo ikatangeneza ziwa kubwa upande wetu kiasi kwamba shimo la crater likawa na upana wa 90% upande wetu na maji yakajaa maana yake 90% ya maji yatakuwa kwetu.

Kwa hiyo riparian laws unayosema maana yake hatutakiwi tuwe na hiyo 90% ya maji. Maana yake mpaka wetu sasa utakuwa umesogea ndani zaidi ili Kenya ifaidike na nusu kipande kama sheria zako hizo zinavyosema!

Kwa maana hiyo ramani zitachorwa upya na sisi itabidi tukubali Kenya ichukue kipande chetu na ramani zionekane mpaka umeingia na sisi tumepunguziwa hukuKenya ikiongezewa kipande cha eneo ambacho ni maji!

Hivi ndivyo mnavyotaka kama riparian laws mkidhani ndiyo utatuzi!

Kama hamkuwahi kulifikiri hili, basi wazungu walishalifikiri karne nyingi zilizopita. Wanajua umbo la dunia linabadilika tena sasa hivi kutokana na climate changes.

Niliposoma history nilifahamu kwamba English Channel haikuwepo na England ilikuwa pamoja na Europe enzi za glacier period. Leo ukitegemea umbo la dunia na mabadiliko yake basi kila siku utakuwa unapigizana kelele kama hakuna fixed agreement.

ndiyo maana agreement zimekuwa set kwamba kama hakuna agreement basi hizo mnazoita Riparian laws au UN Convention of 1982 zitumike.

natumaini imeeleweka japo nimeisema sana hii.

ni wapi huko ambapo hizo forces zilitokea.......halafu watu/nchi jirani wakaanza ku-claim haki kama unavyoelezea........hebu tupe hiyo historia ya Ziwa Nyasa ya kwamba ilikuwa ni land ya Malawi kabla halijageuka kuwa Ziwa........
 
...........Halafu kutojua history ndiko kunakowafanya mdhani kwamba watanzania walishawahi kukatazwa kutumia ziwa lile. Kamuzu banda aliliweka wazi hili mwaka 1967 kwamba hawajawahi na hawatakuja kuwakataza watanzania kvua samaki mle. Kama una ushahidi wa mtanzania kukamatwa na serikali ya Malawi kwa kuvua au kuogelea au kupita na meli basi tuonyeshe. Hakuna. Hivyo hizi mnazoongea ni porojo tu lakini si ukweli wa mambo yalivyo............

......look at this is comedy!........Kwa mkataba upi sasa...........
 
Back
Top Bottom