Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Mwananyamala Hosp mtamuua mama huyu!
Imeelezwa kuwa hali ya mwanamke mjamzito ambaye kiumbe chake kimefia tumboni tangu wiki iliyopita, bado ni tete, huku ndugu zake wakijitahidi kutafuta tiba ili kunusuru maisha yake.
Kwa mujibu wa dada mkubwa wa mgonjwa huyo ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake kwa kuogopa kuendelea kukosa ushirikiano kutoka Hospitali ya Mwananyamala, alisema hali ya ndugu yao si nzuri.
Kusema kweli ndugu yetu bado hali yake si nzuri, maana hata hii (leo) jana tumerudi tena Hospitali ya Mwananyamala lakini hakuna tiba tuliyopata, alieleza.
Aliongeza kuwa hata jana walipokwenda na kumtafuta daktari wa kuwasaidia, aliwaeleza kuwa wasubiri muda wa wiki mbili waliopangiwa awali.
Alisema kutokana na majibu hayo, waliamua kurudi nyumbani na mgonjwa huyo huku wakijaribu kuwasiliana na ndugu wengine, ili kutafuta fedha kwa ajili ya kumpeleka katika hospitali binafsi.
Kwa sasa hatuna njia nyingine, kwa muda huu tunajaribu kukusanyana na kufanya kikao ili tumpeleke katika hospitali binafsi, kwani hatuwezi kukaa kwa wiki mbili, kwani hali yake ni mbaya, alisisitiza.
Hivi karibuni hospitali hiyo imekuwa ikigubikwa na tuhuma mbalimbali, ikiwa pamoja na kumbadilishia mwanamke mmoja mtoto na kumpa mfu.
http://www.darhotwire.com/home/news/2009/11/26/mwananyamala_hosp_mtamuua_mama_huyu.html
Game hapa umedunda! Kuna taratibu ambazo ni lazima zifuatwe inapokuwa "Intra Uterine Fetal Death" mtoto kufia tumboni is non urgent issue unless otherwise, nafikiri hao jamaa wa Mwananyamala wako 100% along the path lakini kwa midomodomo ya hao ndugu na udaku wa gazeti inajaribu kuharibu jina la Hospitali bila sababu za msingi, toka lini mtoto kufia tumboni anaweza kumuua mzazi? kama kungekuwa na hatari hiyo sidhani kama angepewa ruhusa kwenda nyumbani, haya magazeti mengine ni magazeti taka ambayo hayaelimishi bali ni kuchafua hali ya hewa tu, Magazeti yaje na ukweli wenye picha halisi, si mbaya yakaongelea ukosefu wa vifaa mahospitalini, vifo vinavyotokea kwa uzembe wa madaktari na manesi wao, ulevi uliopindukia kwa baadhi ya madaktari etc...bila kumuonea mtu au Hospitali fulani,Kuna habari kuwa anaweza kufa eidha leo au Jumapili
Game hapa umedunda! Kuna taratibu ambazo ni lazima zifuatwe inapokuwa "Intra Uterine Fetal Death" mtoto kufia tumboni is non urgent issue unless otherwise, nafikiri hao jamaa wa Mwananyamala wako 100% along the path lakini kwa midomodomo ya hao ndugu na udaku wa gazeti inajaribu kuharibu jina la Hospitali bila sababu za msingi, toka lini mtoto kufia tumboni anaweza kumuua mzazi? kama kungekuwa na hatari hiyo sidhani kama angepewa ruhusa kwenda nyumbani, haya magazeti mengine ni magazeti taka ambayo hayaelimishi bali ni kuchafua hali ya hewa tu, Magazeti yaje na ukweli wenye picha halisi, si mbaya yakaongelea ukosefu wa vifaa mahospitalini, vifo vinavyotokea kwa uzembe wa madaktari na manesi wao, ulevi uliopindukia kwa baadhi ya madaktari etc...bila kumuonea mtu au Hospitali fulani,

Mfumo mzima wa sekta ya afya una mapungufu na changamoto nyingi sana. Inabidi watu warudi kwenye meza na kuangalia upya mikakati yao ktk swala hili la afya zetu kwa kweli.
Ikiwa kutokomeza malaria tu ni hadidhi!!!, mapesa ya miradi ya malaria yanafanya nini kama hata kuangamiza mbu hawawezi aibuuuu!!!!
I suspect wewe unatibiwa TRAUMA CENTRE mabako kumwona consultant inabidi ikutoke laki 5!
pili HOSPITALI ya Mwananyamala haihitaji magazeti ya udaku kuiharibia jina kwani performance yake tayari inatosha kuiharibia jina
Tuulize sie tunaokaa Mwananyamala Kisiwani na kutibiwa pale ndio tutakwambia ukweli
Kama unataka ndugu yako afe mpeleke Temeke,Mwananyamala au Ilala.

Rais atayajuaje haya wakati kila kukicha yuko mikoani au nje ya nchi kubembea!!!!
Kuna habari kuwa anaweza kufa eidha leo au Jumapili
Somebody needs a good book to read. Kindly recommend!hii issue ya kubembea ina get out of control