Mimi naona sijui kama anawakomoa, maana wananchi waliompigia kura wanalalamika sana.
Kwanza mwaka 2005 aliwaahidi maisha bora, lakini hawakuyapata.
Mwaka 2010 wakateleza tena wakampa- hapa ndo JK akawaacha kabisa na kufanya mambo ovyo kabisa. Ufisadi ukawa mchana kweupe.
Najua watu wengi hawakumpa kura JK, kwa sababu mwaka 2005 - 2010 alichosha watu sana, mfumuko wa bei na kushuka uchumi.
Sasa hali ni mbaya zaidi, sasa watu wanashangaa je JK anawakomoa Watanzania wote bila kujali kuwa alipewa kura na wachache?