JK, Unaunda Bomu Ndani ya Nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, Unaunda Bomu Ndani ya Nyumba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Goodrich, May 3, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Siongelei siasa wala Chama cha siasa.

  Naongelea hukumu ya ajabu na ya dhuluma iliyotolewa katika kesi iliyokuwa inamkabili Mh. Makongoro Mahanga.

  Ni lazima tukubali kuwa hukumu ile ya hovyo ilitolewa kwa maelekezo ya wakubwa, siyo hukumu ya kitaaluma hata kidogo.

  Mahakamani yalithibitika mambo mengi ikiwemo Mahanga kukamatwa na masanduku ya kura feki, kutowasilishwa kwa matokeo ya vituo kadhaa, kutozingatiwa utaratibu wa kutangaza matokeo na hata hayo matokeo yaliyokuwepo yalionyesha Mpendazoe ameshinda.

  Ninachotaka kusema ni kuwa, usipoiacha haki ifuate njia yake, basi ni lazima kuna malipo yake.

  JK hatakuwepo, wala hao vigogo wenzake wa CCM, bali watoto wetu watakuta taifa lililojaa dhuluma, wizi, uonevu na ufisadi wa kila namna.

  Tukumbuke hata Somalia haikuwa hivyo zamani.

  CCM inataka kuendelea kuwepo madarakani kwa kutumia dhuluma, mauaji, wizi na kila aina ya hila.

  Hili ni bomu, tena linaundiwa ndani ya nyumba !!!
   
 2. K

  Kiti JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tuko pamoja Goodrich. Iko siku
   
 3. Optic Density

  Optic Density Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni na maumivu. Kweni JK ndiye aliyesoma hukumu?. Mmelizwa na jaji baada ya kuona kahushahidi hakatoshi. Nawashauri mjipange upya kukata rufaa. Hongera waziri mkuu mtarajiwa makongoro kwa ushindi.
   
 4. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  natabiri hatufiki 2015 bila fujo kubwa itayocost maisha mengi ya watu kwa sabab ya upumbavu wa jk
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Itafika siku na saa Watanzania watasema BASI INATOSHA!
   
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  acha kuongea pumba wewe
   
 7. c

  chachu Senior Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wataalamu wa sheria watupe ufafanuzi! kila kitu kinaenda na taaluma sio kubwabwaja tu bila reference ya kitaaluma:wave:
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Issue ya Segerea ni ndogo sana mkuu, huwezi kuelekeza lawama kwa Rais wa nchi ambaye anakabiliwa na changamoto nyingi za kuhakikisha anawafikisha wananchi wake pahala panapostahili. Hivi Mpendazoe na Tindu Lissu nani ambaye ana influence kubwa kisiasa ambaye kama ni kufanyiwa fitina ingepasa awe Mpenzoe au Lissu. Mpendazoe alikuwa ana ushahidi wa kusikia. Tuache kulalama jamani. Kwa tuamini kuwa Majaji walioamua Kesi ya LISSU na kule Songea pia CHADEMA walikula dili na Majaji? Mimi msomi na akili zangu timamu siwezi kuwa na mawazo mgando kama hayo.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi MODs huwa wana bann watu wa aina gani jamani. Humu JF tunahitaji zaidi facts siyo matusi,kejeli na upeo mdogo wa mawazo kama huu. Tulishaona watabiri wengi sana akina Shehe Yahaya waliokuwa wakitabiri mambo ya hatari , hawapo tena duniani, angalia unajua mtu kama ninyi huwa mnaondolewa mapema sana na sir GOD.
   
 10. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kwenye masuala ya sheria huwa kuna kurejea kesi zilizopita. Hivi kesi hiyo ikirejea kesi ya Godbless Lema utapata picha gani?
   
 11. n

  nyantella JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Utapata hiyo hiyo iliyopo and nothing else! na itatumika kama hukumu nzuri au mbaya depending on the situation!
   
 12. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unajua ili ukumbuke ni lazima uwe na akili, kwa hiyo hapa huenda la kukumbuka lisifanyike maana inaelekea kuna hilo tatizo la kwanza!

   
 13. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  ajabu ya yote mwanasheria mkuu wa serikali na msimamizi wa uchaguzi wameamuliwa kulipa gharama za uchaguzi. Think twice
   
 14. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  sijakusoma vizuri. iweje wao ndo walipe gharama zote. aliyeshindwa kesi analipa nn!
  Mpendazote mchawi basi!
   
 15. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45


  hiyo damu hapo! MODS wako wapi. kweli bomu litaripuka!!!!
   
Loading...