JK:umeliona hili?

Sunga

Member
Mar 22, 2012
89
22
Kwako JK, ujumbe huu tunaomba ufanyie kazi vinginevyo utazidi kutengeneza sumu ya chuki ndani ya wananch waishio Ruaha Kilombero. una taarifa kwamba vijana wako wa CCM wana tuhuma ya ufisadi wa sh. 64 milioni, wameiibia akaunti ya kijiji cha Ruaha Kilombero. Kuna kijana mmoja anaeitwa Dube yeye nimfanya biashara wa mitumba na yeye ndiye aliye sababsha machafuko kipindi cha nyuma kwa kuficha masanduku ya kupigia kura!
 
Kwako jk. ujumbe huu tunaomba ufanyie kazi,vinginevyo utazidi kutengeneza sumu ya chuki ndani ya wananch waishio Ruaha kilombero. unataarifa kwamba vijana wako wa ccm wana tuhuma ya ufisadi wa sh. 64 milioni. wameiibia akaunti ya kijiji cha ruaha kilombero. kuna kijana mmoja anaeitwa dube yeye nimfanya bihashara wa mitumba na yeye ndiye aliye sababsha machafuko kipindi cha nyuma, kwa kuficha masanduku ya kupigia kura!


Kwenye red: kama kweli alihusika kuficha masanduku ya kura ili kukibeba chama cha JK, basi usitarajie JK afanye chochote. Wizi wa kura ndichi JK na genge lake hulisimamia vizuri katika kuunga mkono!
 
Huyo Dube ndiye kijogoo wanaotakiwa na ccm, asante kwa taarifa muda siyo mrefu watamuondoa atakuwa mkuu wa wilaya ya Kilolo
 
Huko Kilombero ndio mama Salma ana kiwanda cha mbao au Mvomelo, Jiographia ya nchi yangu tabu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom