wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Hakuna Mwanasiasa Aliyewahi Kupambwa Na Vyombo Vya Habari Kama Kikwete,Prince Bagenda Naye Akaja Na Kitabu Cha Kumsifia Sana Kikwete Kuwa Ndo Alikuwa Suluhisho La Matatizo Ya Watanzania,kilaini Naye Na Maaskofu Wenzake Wakasema Kikwete Ni Chaguo La Mungu,sasa Tumeona Wenyewe Mambo Yalivyo Ktk Hii Nchi,hakuna Tena Tumaini,chaguo La Mungu Haliwezi Kuwatesa Watanzania Kwa Wizi Wa Mchana Kweupe,hakuna Cha Lowasa Hapa Wala Nani,ni System Nzima Ya CCM Ing'oke Kabisa,vinginevyo Mateso Yetu Watanzania Hayatakoma,mikononi Mwa Kikwete Nchi Imekatiwa Misaada Kwa Sababu Ya Ufisadi Wa Serikali Yake,yeye Na Wenzake Hawatapata Shida Tutakaoteseka Ni Sisi Wananchi Wa Hali Ya Chini,na Hata Kikwete Anajua Hili,viongozi Hawa Wa CCM Wana Roho Mbaya Sana,ila Ipo Siku Mungu Atatulipia Sisi Wanyonge,Prince Bagenda Liko Wapi Tumaini Lililorejea? Kuna Mtu Kweli Wa Kuthubutu Kutunza Kitabu Kama Kile Ambacho Hakiendani Na Ukweli Ulivyo,msomi Mzima Kama Bagenda Anakurupuka Na Kuandika Kitabu Bila Research,na Aendelee Kukichapa Tuone!