Layman conclusions!! So what? Wewe Katibu Muhtasi wa REDET una nini cha maana zaidi ya kutaka KUWABEBA hao Mabosi wako! Ni mizigo ya moto hiyo! Haibebeki wala haishikiki! Waambie waende Mbeya wakafanye UTAFITI yale mawe yalikuwa na kilo ngapi! Naijua REDET vizuri kuliko wewe Kopitaipisti! Nimeishi hiyo mitaa tangu nikiwa darasa la nne na sasa nina 'mimvi' kibao! Nazijua siasa za UDSM kuliko wewe!
Ukitaka kujenga Hoja siku nyingine kusanya nguvu kwanza sio kukurupuka tu na kuwaambiwa wenzako ni mabingwa wa conclusions! Huu ni mjadala. Kinachotakiwa hapa ni Nguvu za Hoja na si Hoja za Nguvu unazotaka kutultea WEWE mtunza bustani wa Mukandala!
Mkuu,
Nadhani wewe ndiye u can do better than your mediocrity generalization/conclusions nikilinganisha uliyoyaongea na aliyoongea FMES.
Inaingia kichwani kwa nani kusema waliotumia Magazeti walikuwa ni kina EL na RA kwa faida yao. Mtu ambaye alikuwa ANATARAJIWA kuchukua madaraka makubwa ya NCHI alikosa UWEZO wa kujua kwamba akina EL na RA walikuwa wanamtumia kupitia magazeti kujinufaisha wakati yeye hanufaiki chochote! Walichokuwa wanafanya EL na RA kwa asilimia 100 kilikuwa na baraka za JK! Basi.
Umetaja kuwa kuna watu walikataliwa kwa Uarabu wao, kwa Ukikongwe wao, kwa Uchapombe wao lakini unasahau kuna watu walitajwa kuwa ni 'wagonjwa' au wewe hukusikia au hukutaka kusikia au unajifanya hukusikia?
Hakuna mahali ambapo FMES amesema watu wote waliomuunga mkono JK walinunuliwa lakini TUNAAMINI watu wengi waliomuunga mkono JK walinunuliwa kwa bei taslimu (unapewa chako mapema) na wapo walionunuliwa kwa mkopo (ahadi za kupewa vyeo) au wewe unadhani fedha za EPA zilifukiwa kaburini?
Kwa taarifa yako SISI tunawajua kwa majina wasomi woote walionunuliwa pale UDSM! Kama wewe huwajui nyamaza kwa sababu wewe sio PRO wao! REDET ninayoijua mimi ni MALI ya Prof Mukandala ukubali usikubali. REDET ni Mukandala na Mukandala ni REDET! Hao wengine unaowasema ni vivuli tu! Ni mambo ya kawaida kabisa pale UD watu kujichukulia taasisi na kuzifanya ni za kwao. Anzia ESAURP ya Profesa Teddy Malyamkono, pitia Kijiji cha Sayansi na Teknolojia cha Profesa Shayo, nenda CEST ya Profesa Mwandosya, usisahau kupitia ESRF ya Profesa Wangwe. Pamoja na kwamba JK alikubalika wakati ule wa utafiti wa REDET lakini kuna 'chumvi' nyingi tu iliwekwa kumuongezea umaarufu. Suala la JK na Mukandala ni zaidi ya UKADA kama unavyotaka kudhihirisha. Hapa tunaonglea suala la USWAHIBA wao! NIPE nikupe. Waambie REDET leo waende wakafanye UTAFITI tena na UONE kama watatuletea matokeo SAHIHI! Hawajipendi? Au wako busy na kufanya tafiti za migomo ya wanafunzi wa vyuo, walimu, madaktari kwa sasa?
Umemtaja Profesa Chachage (RIP) kwamba alikuwa na mategemeo makubwa na JK! Hivi ni kweli kwamba akina Chachage na usomi wao uliotukuka, na tafiti zao zote walizofanya ni kweli kwamba waliamini JK PEKEE (BILA CCM yote) ndio mkombozi wa wanyonge? Unataka kuniambia Chachage naye alikuwa ni miongoni mwa watu waliomwona Salimu ni Mwarabu, Malecela ni Kikongwe, Kigoda ni Chapombe na JK ni Chaguo la Mungu? Binafsi ni mmoja wa watu ambao nilikuwa namheshimu sana Marehemu Chachage, lakini nilikuwa mmoja wa watu walioshitushwa na kitendo cha Profesa kuigeukia CCM! Kumbuka Marehemu alianguka hadi kupelekea kifo chake pale Kibaha akiwa anafanya kazi za CCM! Sipendi kusema mengi lakini inawezekana marehemu naye alikuwa na 'mkataba' fulani na CCM! Tumuache apumzike na amani huko aliko alifanya mengi ya maana kuliko yasiyo na maana.
Sio kina Chachage tu waliobadilika ETI kwa kumuona JK ni chaguo la Wanyonge. Bado tunazo kumbukumbu za kina Salva Rweyemamu, akina Jenerali Ulimwengu, akina Prince Bagenda, akina Gideon Shoo walivyoligeuza Gazeti la Rai na kuwa JUKWAA la kummaliza SAS na kumuinua JK! Katika hawa nadhani wapo walionufaika na wapo ambao hawajanufaika hadi leo! Jenerali Ulimwengu aliyekuwa na ushawishi na nguvu kubwa pale habari cooperation ALIKUBALI vipi kuuza 'utu' wa gazeti la RAI? Je na yeye 'alikopwa' na hajalipwa kama alivyolipwa Salva? Au majibu ya swali hilo ndio kuanzishwa RAIA MWEMA! Ni kweli kwamba Habari Cooperation ilikaribia kufilisika ndio ikaamua kutafuta 'mwekezaji' mpya RA? Jenerali alivyo mzoefu wa duru za siasa za Bongo, aliona ni sahihi kabisa kumuuzia RA kampuni yao? Nawasilisha.
Layman conclusions!! So what? Wewe Katibu Muhtasi wa REDET una nini cha maana zaidi ya kutaka KUWABEBA hao Mabosi wako! Ni mizigo ya moto hiyo! Haibebeki wala haishikiki! Waambie waende Mbeya wakafanye UTAFITI yale mawe yalikuwa na kilo ngapi! Naijua REDET vizuri kuliko wewe Kopitaipisti! Nimeishi hiyo mitaa tangu nikiwa darasa la nne na sasa nina 'mimvi' kibao! Nazijua siasa za UDSM kuliko wewe!
Ukitaka kujenga Hoja siku nyingine kusanya nguvu kwanza sio kukurupuka tu na kuwaambiwa wenzako ni mabingwa wa conclusions! Huu ni mjadala. Kinachotakiwa hapa ni Nguvu za Hoja na si Hoja za Nguvu unazotaka kutultea WEWE mtunza bustani wa Mukandala!
And this is LAYMAN's analysis....jitahidi kutafuta ukweli zaidi ya kutegemea hizi onface conclusions...
Ukweli ni kuwa ni vigumu kujenga hoja na mtu mwenye upeo wa ki-uchambuzi wa aina yako....
Wakati JK anapigwa mawe na watu waliomchagua, Tazameni mwenzie Obama leo St Louis amabako umati wa watu LAKI MOJA walikuwa wanamsikiliza
Alishindwa kuyazuia mawe kule Mbeya.
Alishindwa kusimamia ushindi wa chama chake huko Tarime.
Ameshindwa kuprovide anything kati ya alivyowaahidi wananchi ikiwemo maisha bora.
Ameshindwa kuwashughulikia mafisadi na sasa hadi vilema ni maadui wake.
Wild Card...Umesema eti unajuwa kuwa atawashughulikia watu wa EPA....Nyie si mlishafanya na maandamano ili kuipongeza ile hotuba yake ya Ki Fidel Castro? Ama unafikiri ilikuwa bahati mbaya?
OK....Weka vigezo vyako vya ubora kabla sijaendelea.
Starting with an end in mind...good question Chuma.
Wadau,mbona swali halijibiwi?
I would take a crack at this ila,sina wa kumpendekeza.
Starting with an end in mind...good question Chuma.
Wadau,mbona swali halijibiwi?
I would take a crack at this ila,sina wa kumpendekeza.
Ukiwa na mtazamo wa kishabiki huwezi kuwa mchambuzi makini wa mambo kama haya. Huwezi ukaifananisha marekani na Tanzania. Tanzania kwa marekani ni kama Jimbo moja tu la Uchaguzi. Ni sawa na ulinganishe umaarufu wa Kepten Komba kwa JK.
Lakini kwa heshima ya kitaifa ilivyo, leo Obama akiwa rais atakuwa na heshima ile ile aliyonayo JK katika ngazi za kiutawala. Tofauti inayokuja hapa ni adhari ya utawala wa Marikani unaathiri Dunia nzima tofauti na Tanzania utawala wake ukiwa wa hovyo utamuathiri mtanzania mwenyewe.
kujua kuongea sana katika siasa haimaanishi utendaji, kwa kweli Obama ni muongeaji tena kwa mbwembwe taam taam lakini je ana nini kikubwa kinachothibitiasha kweli anaweza kuongoza America?
CHANGE what CHANGE? CHANGE haina tofauti na kusema ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA. tuombe JF idumu kwa miaka 4 ijayo ya Obama utaona hawa hawa mashabiki ndo watakuwa wapondaji wakubwa wa Obama, maana wengi wetu hapa ndo tulikuwa tunamsifu JK hivi sasa tumemgeuka na kumuona Fisadi.
Ujinga wa wamarikani wanadhani eti Obama akiwa Rais then wanakuwa na peace na Middle east attacks, wamechemka.
Clinton aliremba remba na Terrors wakakikuona cha moto TwinTowers. Magaidi huwa hayana rafiki ati. Hussein Obama atuambie yeye atawawekaje sawa hawa magaidi ili MMarekani aweze kutembea bila ulinzi huko mashariki ya kati.
Susuviri: Inakera sana watu wanapomfananisha Obama na JK. Tena ni aibu na ushamba vilevile, maana ni vitu viwili tofauti.
Maybe wanaangalie ile ya kupagawisha watu, hapa nakubaliana nao maana kwa kweli JK alipagawisha watu mno. Tofauti ni kwamba wale ambao wamepagawishwa na Obama wanajua kwa nini anawapagawisha na kwa nini wanampenda. Lakini wale ambao JK aliwapagawisha hawakuwa na sababu; ulikuwa ni uzuzu na ushambenga tu. Ndio maana ulikuwa ukiwauliza hivi kwa nini una-mind JK walikuwa wanabaki wakimumunya midomo, ndio maana hata leo anapoboa wamebaki kusonya!
In any case, JK and Obama are two different animals belonging to different kingdoms, phyla, classes and two distinct species!
Kitila,Susuviri: Inakera sana watu wanapomfananisha Obama na JK. Tena ni aibu na ushamba vilevile, maana ni vitu viwili tofauti.
Maybe wanaangalie ile ya kupagawisha watu, hapa nakubaliana nao maana kwa kweli JK alipagawisha watu mno. Tofauti ni kwamba wale ambao wamepagawishwa na Obama wanajua kwa nini anawapagawisha na kwa nini wanampenda. Lakini wale ambao JK aliwapagawisha hawakuwa na sababu; ulikuwa ni uzuzu na ushambenga tu. Ndio maana ulikuwa ukiwauliza hivi kwa nini una-mind JK walikuwa wanabaki wakimumunya midomo, ndio maana hata leo anapoboa wamebaki kusonya!
In any case, JK and Obama are two different animals belonging to different kingdoms, phyla, classes and two distinct species!
Ukweli ni kuwa ni vigumu kujenga hoja na mtu mwenye upeo wa ki-uchambuzi wa aina yako....
Tanzanianjema
Originally Posted by Tanzanianjema
Ukweli ni kuwa ni vigumu kujenga hoja na mtu mwenye upeo wa ki-uchambuzi wa aina yako....
Tanzanianjema
!
mimi sioni tatizo kwa obama nadhani atakapo chaguliwa, umakini unakuwa kwa watendaji wa chini yake atakao wateuwa, tatizo la kikwete alitoa ahadi pasipo kuangalia kwa makini juu ya watendaji wa chini aliowachagua, matokeo yake kachagu watu wakuvuluga malengo yake, na kibaya zaidi akateua maswahiba ambao hata wanapovuluga malengo yake inamuwia vigumu kuwawajibishakaka usemayo ni kweli. Hakuna kilicho maarufu kikadumu au kuisha kikiwa maarufu hivyo hivyo. Obama asome alama za nyakati kwa jk. Wa marekani wanategemea kuona real changes tena kwa kipindi kifupi sana ambacho siamini obama anavyojiuza kwao kweli ataweza kutimiza. Hapo ndipo atakapokuja kugeukwa na hao hao wanamshabikia sasa na kumuona ni mzushi tu kama vile leo tunavyomuona jk mzushi kwa watanzania.
Tunamuomba obama asidhani usa ni kama kenya au tanzania ambako unaeza ukaleta siasa za kihuni na watu wakakutizama tu.
Hakuna kitu kibaya kama watu kutarajia makubwa kuliko uwezo wako wa kuyatenda. Mkapa kamaliza fresh maana hakuna aliyetegemea anaweza kutimiza aliyokuwa ameahidi. Kwanza kila mtu aliamini hata urais hatouweza kwamba tungekuwa tunaongozwa na nyerere kupitia mkapa. Hiyo imemuwezesha kutulia na kuweza kujipanga na kutimiza zaidi ya 80% ya alivyotaka kufanya.
Obama asidhani itaendelea kuwa shangwe ki hivyo kila siku. Hizi shangwe zote zinaishia nov 4 baada ya hapo ni kiwango cha kazi tu kitaangaliwa. John anaaminika maana uwezo wa kazi anaaminika anao na ndo maana hata kwenye chama chake hakupata upinzani mkubwa. Kazi kwako obama na wanaokufagilia