Jk:shida ya maji dar ndio umeiona juzi?

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Kweli huu ni mwaka wa uchaguzi mkubwa humuamkia mdogo "shikamooo kijana" au ndio mkulu unajihami kwa wananchi ili wakupe kura oktoba maana wafanyakazi ni wazi kuwa kura zetu umezikosa kabisaaaa.shida ya maji dar ni kongwe ila miaka mitano ya uongozi wako hujaona mpaka juzi.sawa tutaonana oktoba.
 
Back
Top Bottom